Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JF! Nimewahi kuleta post ya uchafu wa barabara Namtumbo-TDR.Sasa mkandarasi katimuliwa,Barabara bado tete. Chanzo: Michuzi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
THURSDAY, JANUARY 10, 2013 Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha maguni wakipambana na walinzi wa kiwanda hicho ambao waliwazuia wapiga picha wa l.T.V na mpiga picha wa Mtandao huu.picha...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Jamani mimi naomba kujulishwa kwamba mauaji haya ya Kikatili kwa waandishi wa habari hadi lini??!!! Hivi majuzi zimeripotiwa habari za mauaji ya mwandishi wa Redio Kwizera iliyopo wilayani Ngara...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekua nikipata hasira kali sana kuona jinsi vijana wasio na ajira wanavotapeliwa kupitia kazi zinazoombwa mtandaoni. Hivi vyombo vyetu vya kiinteligensia vinafanya nini???These are very minute...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alikuwa msela wa kitaa ndani ya kijiji cha Ngaritati wilayani Siha .alisoma shule ya sekondari Nuru shule ikawa ngumu akaachia kidato cha pili. Akaanza kuwa mchizi wa kitaa na kunywa pombe za...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohamed Mpinga. JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na Mamlaka mapato nchini (TRA) limeboresha mfumo wa utoaji leseni za udereva ambazo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Awali nilidhani ushauri huu uende TCRA, lakini nimeamua kuupeleka kwa Makamba Jr kwa sababu 1. Viongozi wa kisiasa wana dhamana ya moja kwa moja kwa sisi Wananchi 2. Nahisi TCRA wana maslahi kwa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni weekend ya mwisho kwa mwaka 2012, kuna threads nyingi ambazo zilianzishwa na kujadiliwa 2012, kama member wa Jf kwa haki ya kikatiba ya kufunguka bila kificho ukafunguka kuchangia, lakini kuna...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
http://www.cp-africa.com/2013/01/10/why-ageism-against-young-people-is-holding-back-the-progress-of-african-countries/?utm_source=feedburner&utm_medium=email&utm_campaign=Feed%3A+CelebratingProgres...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu zangu katika ujenzi wa barabara ya Morogoro kwa mradi wa DART kuna vibao vyenye maandishi 'we are building for you'. kwa mtazamo wangu tafsiri yake inakuja vibaya. kwanza ni maneno ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Umeme ukikatika jioni huwa tunasahau mpaka kesho yake na wakiamua hata mpaka jioni tena. Jana umeme umekatika saa 10 jioni mpaka saa hizi sita kasoro hamna umeme. Wananchi hatuelewi tatizo ni nn...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za uhakika zinasema kumetokea mvutano mkali baada ya kiongozi wa kanisa hilo aitwae laroya kudaiwa kuchakachua ununuzi wa bus la kwaya maarufu ya usharika huo ya uinjilist . Kanisa...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
maafisa wa TCRA wakizungumza ktk kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel 10 leo asubuhi wametanabaisha kua ile tv yenye mbwebwe nyingi na inayotumika kueneza propaganda za magamba imeshindwa...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Wateja wa shirika la bima ya afya mkoa wa kilimanjaro wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na shirika hilo kuwa kama kibanda cha bahati nasibu badala ya kuwahudumia wateja wake kama...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
By Ruth Alexander BBC News The funeral of Ghana's John Atta Mills drew thousands Continue reading the main story In today's Magazine The tourists beaten by Greek police If used car salesman ran...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Wadau, Heri ya Mwaka Mpya, 2013. SHULE ya Msingi Ikombe iliyopo kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa katika Kijiji cha Ikombe, kata ya Matema wilayani Kyela, Mbeya, imepatiwa msaada wa madawati 100 yenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimejaribu Za**el lakini naona ni ghali mno. Jee kuna mtandao mwengine rahisi wa kupiga simu kenya ndugu wananchi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna jamaa alikuwa anasimama kituo cha mabasi posta mpya mwaka 2011-2012 akinukuu biblia na kuitukana serikali mbona haonekani siku hizi kama kuna jamaa anapicha zake alibahatika kumpiga anaweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kamanda wa police mkoan mara salum msangi amethibisha kukamatwa kwa askar wawil mkoan humo kwa kufarisha mirungi kutoka mkoan mwanza kwenda mara na shehena ya madawa hayo ya kulevya kwa kutumia...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika majonzi na simanzi kubwa nataka kuujulisha umma kuwa fao la kujitoa limefutwa siku yeyote kuanzia sasa na mwezi february mtatangaziwa. Poleni sana ndugu zangu mliokumbwa na hili. Wasalaam.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom