Kilio cha wanyonge tanga beach resort na ppf

kimloon

New Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
1
Reaction score
0
KILIO CHA WANYONGE TANGA BEACH RESORT NA PPF
Sisi wafanyakazi wa hoteli ya kitalii iitwayo TANGA BEACH RESORT iliyopo mkoani TANGA. .Hoteli hii inasemakana ni yaMkubwa Fulani serikalini chombo kikuu cha usalama nchini, inaendeshwa nachekibob ajulikanayo kwa jina la Hamis kindoroko wa dares salaam chini yamanejiment ya kikenya.
Katika miaka mitatu hii yote tumekatwa makato yappf ambayo hayafikishwi ppf kabisaaushahidi na vielelezo vyote tunavyo.Inatuuma sana takribani milioni hamsinisasa.Tukiulizia tunatishiwa kufutwa kazi .Tunaomba msaada habari hii irushwejamii nzima itambue .Ukienda ppf akaunti ni nil na hawafuatilii chochote,sijuiwanashirikiana kuzila ama wanamuogopa mkuu huyu. Hii ndio Tanzania yenye Amanina dhuluma ya waziwazi.
 
Hapa huwezi kupata msaada. Wasililiana na PPF ili waje kufanya ukaguzi ofisini kwenu.
 
KILIO CHA WANYONGE TANGA BEACH RESORT NA PPF
Sisi wafanyakazi wa hoteli ya kitalii iitwayo TANGA BEACH RESORT iliyopo mkoani TANGA. .Hoteli hii inasemakana ni yaMkubwa Fulani serikalini chombo kikuu cha usalama nchini, inaendeshwa nachekibob ajulikanayo kwa jina la Hamis kindoroko wa dares salaam chini yamanejiment ya kikenya.
Katika miaka mitatu hii yote tumekatwa makato yappf ambayo hayafikishwi ppf kabisaaushahidi na vielelezo vyote tunavyo.Inatuuma sana takribani milioni hamsinisasa.Tukiulizia tunatishiwa kufutwa kazi .Tunaomba msaada habari hii irushwejamii nzima itambue .Ukienda ppf akaunti ni nil na hawafuatilii chochote,sijuiwanashirikiana kuzila ama wanamuogopa mkuu huyu. Hii ndio Tanzania yenye Amanina dhuluma ya waziwazi.
poleni ndg, ivi ni kweli kuwa ni ya bab rz1? manake maelezo yako yananichanganya....pia nackia kuna wachina huko tanga wanajenga bonge la barabara ya lami kutoka duga mwembeni kuelekea huko tanga b resort kwa order kutoka ukulu daslam?
 
Hamisi kindoroko checkbob au mshamba tu huyo.....
 
Jamaa ndio inasemekana yuko pia kwenye ile Hotel ya Girrafe
 
si umtaje huyo anaemiliki sasa, mbona Hamis umemtaja waziwazi?
 
Imeniumiza zaidi kwa vile ktk safari yetu ya Tanga tulipelekwa na wenyeji wetu att: Dark City kwenye hoteli hii, tukaonja warmth ya wahudumu hawa wanaolalamika. Namkumbuka kwa sura yule aliyeniletea ice-blocks.
Poleni sana, lakini ukombozi wenu uko karibu kwa vile kilio chenu hiki kimesambaa kote nchini.
 
Last edited by a moderator:

Hii ndo bongoland kaka....

Mie siwezi kushangaa chochote..!!
 
Imeniumiza zaidi kwa vile ktk safari yetu ya Tanga tulipelekwa na wenyeji wetu att: Dark City kwenye hoteli hii, tukaonja warmth ya wahudumu hawa wanaolalamika. Namkumbuka kwa sura yule aliyeniletea ice-blocks.
Poleni sana, lakini ukombozi wenu uko karibu kwa vile kilio chenu hiki kimesambaa kote nchini.

inauma sana kwa kweli.....kwa jinsi tulivyopata upepo mwanana na tabasamu zenye bashasha.......kumbe wafanyakazi wao wanateseka kwa jasho lao......ki uungwana wawalipe ppf zao.....
 
Naaamini kabisa JF pia ina member kutoka PPF ambao wamo humu , hebu wasaidieni watanzania wenzenu jamani!
 
Back
Top Bottom