twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Unakuta mtu ni member wa JF muda mrefu tena wengine ni Experts kabisa halafu,like given=0,hii ni aibu na ubinafsi mkubwa.Mimi naamini ukishindwa kuonyesha mazuri katika jambo dogo hata kubwa litakushinda.Badilikeni wandugu..!