COTANGENT JF-Expert Member Joined Nov 24, 2012 Posts 444 Reaction score 244 Jan 9, 2013 #1 Vijana wasomi acheni kulalamika, kwan tafiti imefanyika kati ya vijana 10 ni watatu tu ndio waliotoa maoni yao juu ya katiba mpya wanayoitaka Jamani - mabadiliko ni mimi,ni wewe, ni sisi - tuamke mwisho wa kutoa maoni ni tarehe 31st Jan 2013
Vijana wasomi acheni kulalamika, kwan tafiti imefanyika kati ya vijana 10 ni watatu tu ndio waliotoa maoni yao juu ya katiba mpya wanayoitaka Jamani - mabadiliko ni mimi,ni wewe, ni sisi - tuamke mwisho wa kutoa maoni ni tarehe 31st Jan 2013