Nawakumbusha tu kabla mwaka haujaisha

Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,297
Points
1,250
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,297 1,250
kUMBUKENI YAFUATAYO;

1. Benki kuu, BOT ilitoa tamko mabenki yoote nchini yapokee taarifa kutoka kwa wateja wao. Kuna fomu unapewa benki kwako na unajaza maelezo fulani fulani pia unaenda kwa serekali za mitaa unapata barua na kisha unarudisha kule benki.
Muda wa hili swala ulishaisha tangu January mwaka huu ila tulipewa muda wa nyongeza wa mwaka mmoja mpaka desemba hii.
Hivyo baasi deadline ya extended period ndo inaisha. Wenzangu nawakumbusha mufanye hivyo.

2. Huu ni mwezi wa mwisho, tunaiaga analogue technology katika transmission ya mambo ya TV. Kuingia digital TV transmission inabidi uwe na king'amuzi. Fasfa fasta nenda kanunue king'amuzi aka decoder; say Startimes, au Ting au chochote maana ifikapo 31st dec 2012 hutaweza kuona TV kwa kutumia antenna ya kawaida tu.

Ni hayo tu
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,546
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,546 2,000
Tanzania kwa longolongo tu mbona hatujambo??
Hivi lile zoezi la kuandikisha kwenye vitambulisho vya uraia lilikuwa ni kwa DSM pekee au nchi nzima?
 
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,297
Points
1,250
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,297 1,250
Tanzania kwa longolongo tu mbona hatujambo??
Hivi lile zoezi la kuandikisha kwenye vitambulisho vya uraia lilikuwa ni kwa DSM pekee au nchi nzima?
Yaani bora hata umenikumbusha na hili. Ukiwauliza watakuambia mchakato unaendelea. Ukiwakera sana watakupasulialia kua pesa zimetuishia. Tanzania yetu bado hatujaijua vizuri sijui nani atatusaidia kuijua
 
Andrew Nyerere

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined
Nov 10, 2008
Messages
3,011
Points
2,000
Andrew Nyerere

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined Nov 10, 2008
3,011 2,000
Bankers wote ni wezi tu. Hilo ndilo jambo la kuwakumbusha watu. We need to reform the banking system,tunahitaji banking bila riba,like the Islamic form of Banking. banking iliyopo sasa hivi ni Babylonian system of Banking,based on the Talmud. In history you will see many examples of this. Wamarekani wamenunua mafuta Mashariki ya Kati kwa mkopo,hawawezi kulipa,na hawana mpango wa kulipa,ndio maana wapo pale na majeshi yao. Just like in history,Rome could not pay the loans from Greece,and so Rome conquered Greece,and there are many other examples;Germany could no tpay the debts imposed on it by the Versailles Treaty,and so they went to war.
It is not intended that those debts should be paid. Remember Shylock and the pound of flesh. [Hiki kitabu cha Merchant of Venice is banned by the Jews in American schools.] It is these same Jews who have been troubling the world all throughout the centuries. They are the people who are controlling the IMF and World Bank. The so called 'economic laws' have been invented by them to steal all the money of the world.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,695
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,695 2,000
Sijaona manufaa ya kusajili simu zetu, kwahiyo hayo mengine naona ni usanii tu, kama TV yangu ni Digital ni kwa nini ninunuwe king'amuzi? upuuzi mwingine huu wa kuwaibia Watanzania maskini sawa na dili la speed Gavana. mimi nitakuwa wa mwisho kununuwa hivyo ving'amuzi kama ni lazima.
 
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Messages
2,297
Points
1,250
Tripo9

Tripo9

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2009
2,297 1,250
Bankers wote ni wezi tu. Hilo ndilo jambo la kuwakumbusha watu. We need to reform the banking system,tunahitaji banking bila riba,like the Islamic form of Banking. banking iliyopo sasa hivi ni Babylonian system of Banking,based on the Talmud. In history you will see many examples of this. Wamarekani wamenunua mafuta Mashariki ya Kati kwa mkopo,hawawezi kulipa,na hawana mpango wa kulipa,ndio maana wapo pale na majeshi yao. Just like in history,Rome could not pay the loans from Greece,and so Rome conquered Greece,and there are many other examples;Germany could no tpay the debts imposed on it by the Versailles Treaty,and so they went to war.
It is not intended that those debts should be paid. Remember Shylock and the pound of flesh. [Hiki kitabu cha Merchant of Venice is banned by the Jews in American schools.] It is these same Jews who have been troubling the world all throughout the centuries. They are the people who are controlling the IMF and World Bank. The so called 'economic laws' have been invented by them to steal all the money of the world.
Wewe babu nae! Sasa kama ni wezi tukatoe pesa zetu huko? Ukikubali kuolewa shurti ulale na ch...i. Tumekubali sawa, wameweka sheria zao, ok, Now we have no any other option. Unless unataka uniambie kua tujikusanye tupige kunji kupinga udhalimu huu hapo nitakuelewa kidogo.
 
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2009
Messages
1,290
Points
1,500
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2009
1,290 1,500
Asante sana kiongozi kwa kutukumbushapo.
 
Andrew Nyerere

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined
Nov 10, 2008
Messages
3,011
Points
2,000
Andrew Nyerere

Andrew Nyerere

Verified Member
Joined Nov 10, 2008
3,011 2,000
Wewe babu nae! Sasa kama ni wezi tukatoe pesa zetu huko? Ukikubali kuolewa shurti ulale na ch...i. Tumekubali sawa, wameweka sheria zao, ok, Now we have no any other option. Unless unataka uniambie kua tujikusanye tupige kunji kupinga udhalimu huu hapo nitakuelewa kidogo.
Okay,nitaeleza zaidi nikipata muda.
 
Forum statistics

Threads 1,285,940
Members 494,834
Posts 30,879,822
Top