wana jf kwa kweli ubungo stand kumekuwa na tatizo sana yani amuwezi amini mpaka saizi magari yaliyotakiwa kuondoka saa kumi na mbili na nusu mpaka saizi akuna bus hata moja ambalo limeondoka kuna foleni kubwa sana na kwa hali hii nailaumu sana serikali ya chama cha mapinduzi..kwa kuwa na watumishi wasiokuwa na mtizamo wa mbali kwa sababu swala la stand ya ubungo kama tungekuwa na viongozi makini hii stand isingekuwa hapa ubungo na kuleta taabu kubwa kiasi hiki.. Kwa kweli inakela sana tena sanaa na kwa sisi tunaokwenda mwanza mpaka saizi atujaondoka..je tutafika muda gani mwanza? Naichukia sana serikali yetu kwa kuwa na watumishi wanajijali wao binafsi pasipo kujali matatizo ya walio wengi ambao ni watanzania