Kwa taarifa nilizozipata kwa njia ya simu gari la Bunda bus lililokua linatokea Musoma kwenda Mwanza limepata ajali nje kidogo ya Magu kuelekea Mwanza naomba mwenye taarifa hizi atujuze vizuri jamani ndugu zetu wamo humo.
Jamani aliye karibu napata taarifa watu wengi wamepoteza maisha and my bro kajeruhiwa nipo far sana kufika hilo eneo la NGASHE napoambiwa gari hilo limepindukia.
Poleni sana wahanga wote wa tukio hili hasa kipindi kigumu kama hiki cha mwanzo wa mwaka. Mungu mwenye rehema awarehemie marehemu wote wapumzike kwa amani... Amina. Na majeruhi awape kitulizo cha maumivu yao na kwa rehema zake wapone haraka ili warudi katika ujenzi wa taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.