Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kijana aliyetajwa kwa jina moja la Susuruka amejeruhiwa kwa kuliwa nyama za sehemu ya uso wake na mwajiri wake aliyekuwa akimfanyia kazi ya kuchunga ng’ombe katika kijiji cha Muhange wilayani...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu, nimekuwa najiuliza sana juu ya hili, Tanzania imekuwa ikizalisha wasomi toka enzi za ukoloni, lakini cha ajabu ni kwamba mpaka leo hii Nchi yetu hii haizalishi chochote, mpaka vijiti vya...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
naomba mnisaidie kujua kwanini Mtikila anapenda kumuita Nyerere Dikteta?, kwanini anamkashifu?, kuna nini nyuma ya pazia kilitokea?.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Najua suala la pension limetaimiwa vizuri na watu. Si kwamba lina hoja ya kutisha hadi nchi nzima ikatetemeka, bali waliolikuza walicheza na uelewa wa wananchi kuhusu masuala ya Social Security...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida kwa CCM kuitwa chama cha mafisadi. Kiukweli (au kisheria na kihalisia),wanachama wa CCM wote ni mafisadi? Kwanini? Nisaidieni Wakuu kuelewa hapa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii tigo xtreme ya 450 mbona kama inatukamua sana.wadau mnaonaje?kama kuna vifurushi vingine hata vya mwezi nijulisheni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Jana katika taarifa ya habari ya StarTv walirusha habari inayohusu kuteketezwa kwa udongo uliopo mkoani Morogoro katika kijiji fulani.Wataalamu walisema udongo ule una sumu na hivyo...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Wapendwa tunasikitika kumpoteza mwalimu wetu mpendwa aka Mkuda Mr Mbise kwa wale wote waliopita Umbwe sec school miaka ya sitini mtamkumbuka alivyokuwa mcheshi kwa wanafunzi. RIP MBISE...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Katika kipindi cha Jahazi (Clouds FM) cha jana 3/1/2013, nilishangazwa sana na hatua ya Bw.Kibonde kuwaita wakazi wa Mtwara ni "WAPUUZI". Kwa kufanya hivyo, amevuka mipaka hata kama alikuwa na...
4 Reactions
88 Replies
9K Views
Ndugu wadau wa jamii forum: Baada ya kufuatilia kwa umakini sakata la Gesi huko Mtwara linanipa picha ifuatayo 1} Watanzania sasa wanahitaji serikari ya majimbo 2) Wananchi wamechoshwa na umaskini...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
WanaJF, Binafsi bado nafikiria hii makala ya askofu mstaafu wa Capetown kwa wabunge wa Uganda. To Ugandan MPs: God does not discriminate among our family - Commentary - monitor.co.ug
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I have scoured the web for readership statistics of Tanzanian newspapers in vain. Is anyone here aware of any recent study on newspaper readership (esp. English newspapers)? I came across a...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
mjadala unaendelea bbc kuhusu katiba mpya na utatuzi wa migogoro deus kibamba ni mkit/ wa jukwaa la katiba na
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sielewi kwa nini Tanzania hatutaki kufanya mageuzi ya kweli na kuunda taasisi ambazo zitafanya kazi kwa ufanisi. Bado tumeng'ang'ania mifumo ya kizamani kama huu muundo wa kuwa na idara municipal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, kwa siku kadhaa nimekuwa nikiingia katika duka linalouza vifaa vya elimu la Tahfif, Mtaa wa Mansfield -jirani kabisa na Benki ya Mkombozi. Huyu jamaa (Mhindi) anayeonekana kuwa mmiliki wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
takribani wiki sasa imekuwa ikionekana ndege zikishuka na wachina lukuki na airport kujaa kama vile tupo beijing!! kulikoni jamani?? ndege aina ya boeng imejaa wachina zaidi ya mia mbili kama...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Hivi wanaume wenzangu how many extracurricular casual relationship can you have at a time. It just came in my mind and I started counting and I got 7. These are women I have seen in the last six...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi.Hivi mchakato wa kuandikisha watu majina kwa ajili ya vitambulisho vya taifa umefia wapi?Nakumbuka mara ya mwisho mwaka jana kwenye mwezi wa 8 na 9 walisema wakitoka DSM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau mvua ndio hizi na radi mtindo mmoja dar yetu hii.naomba kujuza radi nini,kuna uhusiano gani na ushikina,nitajirinda vp na radi.nikweli radi hufuata vitu vyekundu
0 Reactions
15 Replies
5K Views
mwandish wa habar isa nguma aliye uwawa na watu wasiojulikana,mwil wake umekutwa ukiwa hana sehemu zake za siri hivyo kuzua hofu juu ya walio muua kama kwel walihitaji roho au nyet zake kuna...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom