Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
jamani, nyumbani nina king'amuzi lakini kutokana na huu mgao wa waziwazi wa umeme unaoendelea imebidi niende bar kuangalia mpira kati ya MAN U NA LIVERPOOL. yaani mechi haijaisha nimesha kata laga 10 na hazipandi. isijeikawa breweries nao wana mgao wa umeme hivyo laga haziivi vizuri?!. nawatakia week enda njema.
