Swalli kwa waziri muhongo

Swalli kwa waziri muhongo

salmar

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
799
Reaction score
363
Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali ishakua mbaya maana vitu vinaoza na ww ulisema shida ya umeme sasa basi kulikoni ama waziri huwezi kuaimamia maneno yako
 
Naona wamekuboa kweli yaani, hadi mkono unatetemeka kuandika
 
Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali ishakua mbaya maana vitu vinaoza na ww ulisema shida ya umeme sasa basi kulikoni ama waziri huwezi kuaimamia maneno yako
tulia kwanza halafu uanze taratibu kuelezea lililokusibu kuanzia kwenye heading hilo neno suali na post yenyewe.
 
hujakulia bongo naona kiswahili kinakusumbua kidogo

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hahaaa kamanda mm ni mzawa na nimekulia ndani ya jiji ila ni hasira kweli maana hawa washenzi kila kukicha wanaukata umeme unashindwa hata kupumzika na familia kwa joto
 
Bado umeedit ila umekosea tena hizo double ll hapo kwenye suali to swalli inatakiwa kuwa Swali.
Sasa kama umekulia hapa yakupasa utulie unapoandika kisha usome tena habari yote ndo upost vinginevyo kuna wajuaji humu. Haya pole kwa majanga

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali ishakua mbaya maana vitu vinaoza na ww ulisema shida ya umeme sasa basi kulikoni ama waziri huwezi kuaimamia maneno yako

Akihojiwa katika kipindi cha dakika 45 ITV alisema moja ya maboresho ya tanesco ni kuwa sasa hivi umeme ukikatika Tanesco huwaomba radhi wateja wake.
 
Huyu Profesa naye ameshakuwa tatizo katika wizara hii kwani yameanza kumshinda. Akili yake kwa sasa ni gesi ya Mtwara itafikaje kwa BWANA wake na siyo mambo mengine.
 
Hahaaa kamanda mm ni mzawa na nimekulia ndani ya jiji ila ni hasira kweli maana hawa washenzi kila kukicha wanaukata umeme unashindwa hata kupumzika na familia kwa joto

unafikiri ni busara kuwaita hivyo? hufikirii kwamba wangependa wakuhudumie vizuri tu we mteja wao lakini kuna vikwazo vilivyo nje ya uwezo wao? mi sioni kama ni busara kutukana, tena haswa kwa jambo ambalo utekelezaji wake unahusu watu wengi na wa ngazi mbalimbali, tena zidi unahusu pia vifaa ambavyo huna uhakika kama vinatosha au viko kwenye viwango? labda tu jilaumu kwa kuzaliwa humu, watanzania shid tulizonazo ni nyingi, na nyingi husababishwa na uongozi, policies zetu n.k haitoshi wala haifai kumtukana mtu au baadhi ya watu ambao ni watendaji, jambo linalohusu umeme ni kubwa kuliko unavyofikiri
 
Back
Top Bottom