Wamama wajawazito katika hospital ya mkoa wa Dodoma wanalalamika kuhusu kung'atwa na kunguni,chawa na mbu.Tupo 100 na zaid ila kunavitanda 15 tu wanasema wajawazito hao kuwa wamekuwa nalala chini huku wadudu hao wakiwasumbua. Tujadili
chanzo: majira
chanzo: majira