msaada plz.yuko wapi suzan mong

msaada plz.yuko wapi suzan mong

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
243
mwanamama makini ktk tasnia ya utangazaji hapa nchini .alipo bbc idhaa ya kiswahili na inasadikiwa kuwa yeye na tido muhando waliombwa na mkulu kuja kuborosha tbc iliyo kuwa imedoda kipindi kile ikiitwa tvt.kuna mdau humu anajua yuko wapi mkali huyu
 
Yupo alikua anakaimu kiti cha Mhando alipotimuliwa kwa issue ya Mchakato majimboni, Shirika la utangazaji kichaka tu!
 
Naomba kuuliza unamtafuta wa nini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Unataka wa nn? Hatuwaamini kabisa nyie wafuasi wa ccm.
 
Unataka wa nn? Hatuwaamini kabisa nyie wafuasi wa ccm.

hahahaha.kigoda nakuhakikishia mm cio ccm wala cdm na sinaitikadi na chama chochote cha siasa duniani nisome unielewe hoja zangu ni kutaka mjadala tu.
 
Unamjua afisa habari wa Tume ya mawasiliano? Anaitwa Bw Innocent Mungy, tafuta contact zake kwa kuwa yeye ndie atakayekupa habari sahihi yaq huyu mama, Suzan!!!! Wengine ni wazushi tu watakusumbuoa kaka!!!
 
tcrs nimekufahamu nitamtafuta jtatu,nilikuwa naye londan na nairob nikapoteza mawasiliano naye.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom