Wana-JF,
Pamoja na Waheshimiwa Wabunge kuukataa muswada wa kurekebisha sekta ya umeme nchini, ili kuleta ushindani zaidi na unafuu wa bei kwa mteja, Waheshimiwa Wabunge wameukataa muswada huo...
STATEMENT BY H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE HIGH LEVEL
MEETING ON AFRICAS DEVELOPMENT NEEDS,
UN NEW YORK, 22ND SEPTEMBER 2008...
Je Migomo ya wafanyakazi - Tumesikia TUCTA - wametangaza kuwa na mgomo baada ya wiki mbili ikiwa hawatalipwa ile nyongeza ya mishahara waliyokopwa tangu Januari, - Walimu nao wametoa tangazo la...
Wanajukwaa,
Nimeona ni wakati muafaka kuwapa nafasi ya kusoma na kutoa maoni yenu juu ya mtizamo huu wa mtanzania mwenzetu kuhusu mustakabali wa taifa hili lenye umri wa miaka 47 ya kujitawala na...
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Adadi Rajabu, jana alitajwa kuhusishwa na vifo vya wafanyabiashara watatu na dereva teksi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Kaimu Kamanda wa...
Kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wanaoitumia barabara ya Mandela (zamani Port Access) mtakubaliana na mimi kuwa kwa miezi miwili barabara ile mekuwa hovyo kupita maelezo.
Mpango umekuwepo...
Warioba abashiri mafisadi wa EPA kutikisa nchi
Tanzania kama Taifa lenye dola kamili (sovereign) litatikisika na kudhalilika mno machoni pa wananchi wake na katika jumuiya ya kimataifa...
TRA, TIC wakubali lawama za kupungua kwa makusanyo ya kodi
Oscar Mbuza
Daily News; Monday,September 22, 2008 @20:01
HIVI karibuni Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, alifanya ziara ya...
Tuition pale Ardhi nafikiri ni kama TShs. 1,000,000. Matumizi ya JK NY kwa siku 10 kama atakuwa na entorage ya watu kama 10 hivi, itakuwa ni kama U$100,000. Hii inatosha 40% tuition fees ya...
na Anna Makange, Tanga
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepata pigo baada ya wagombea wake wawili waliokuwa wakiwania udiwani katika Kata ya Ngamiani Kati na Chongoleani, wilayani hapa kubwagwa...
Askari kulipua siri ya uchaguzi Zbar
na Mwandishi Wetu, Zanzibar
SAKATA la kukwama mafao ya askari wastaafu wa vikozi vya SMZ, limechukua sura mpya, baada ya baadhi yao kutishia kufichua...
Zimekatwa sana issue za UDSM na Mzumbe hapa lakini naona tumekasahau haka ka institute kalikopo mtaa wa Shaaban Robert. Nimeskia mengi sana kuhusu hiki chuo yakiwemo ya walimu kufanya biashara ya...
Na Frederick Katulanda,Mwanza
SIKU moja baada ya kubainika mfungwa aliyehukumiwa kutumikia kifungo jela miaka mitano kuwa nje, jeshi la polisi limeeleza kuwa limemtia mbaroni kijana huyo na...
KWA WASIOJUA KIINGEREZA tafadhali ombeni mtu awatafsirie. Lugha ya 'If' and 'if' ni lugha ya kubahatisha, ni lugha tegemezi na sio lugha inayotoa uono wa mbali na mwelekeo wa nchi ya...
Minister, MPs differ on prison conditions
2008-09-22 10:36:12
By Angel Navuri
The government has said it has no information that violations of human rights are rampant in the country`s...
Ikulu ya Chamwino kuhamishwa
Martha Mtangoo, Dodoma
IKULU ndogo ya Chamwino mkoani hapa pamoja na Ofisi ya Rais, vinatarajiwa kuhamishwa kutokana na eneo lililojengwa Ikulu hiyo...
Date::9/22/2008
Bomoa bomoa ya kikatili Magomeni
Na Salim Said
Mwananchi
FAMILIA sita zimekosa sehemu ya kuishi baada ya watu wanaodai kununua nyumba ya urithi ya watoto zaidi ya 10 wa...
I am extremely sorry that attachments for the thread 'Weather manipulation' could not be managed.Any inconveniences caused are highly regretted.For your own reading however, please go to...
Have you ever thought even remotely, that the weather can be manipulated.If you have never imagined that electromagnetic waves can be used to bring havoc in terms of hurricanes etc. to the...
ROW ERUPTS AFTER CONTROVERSIAL BUSINESSMAN IS TOUTED AS ONE OF NATION'S LEADING ROLE MODELS
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A ROW has exploded over the decision of organizers of an...