Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa.
Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe...
Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro.
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dare es Salaam limewakamata watu wanne na pikipiki zao, kwa tuhuma za kusababisha kero na fujo kwenye makazi ya watu kufuatia vyombo vyao vya moto ambavyo...
Mahakama ya Wilaya ya Magu Mkoa wa Mwanza, Machi 6, 2026 imewaachia huru watuhumiwa saba waliokuwa wakikabiliwa na shitaka la uchomaji Moto, Shauri la Jinai Namba 2037 la Mwaka 2026 baada ya...
Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka...
Salaam Wakuu,
Nahisi baadhi ya watu wasiokunywa au kuonja pombe hawana akili timamu.
Wana maongezi ya kindezi ndezi.. Hawana madili hata tone...
Wanachojua ni Umalaya, Uasherati, Uzinzi...
Wahenga wanadai mwanzo wa miaka ya 90 kuna mganga flani Ustadh Zenji alimvumbua Popo Bawa.
Lakini akashindwa kumdhibiti. Unaambiwa PB alimuanzia yeye kwa kumfumua marinda.
Akatoka kwenye...
Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Frorence Samwel anadai fidia ya Sh500 milioni Hospitali za TMJ na Hindu Mandal za jijini Dar es Salaam na daktari Moirice Mavura kwa kile anachodai...
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt. Anna Henga, amesema kuwa kati ya manusura 10 wa matukio ya ukatili wa kijinsia, saba ni wanawake.
“Changamoto bado ni kubwa, na...
Wanabodi,
Salaam.
Hapa jf tuko wanachama wengi wenye shughuli mbalimbali. Kikubwa tunachokifanya ni kujadili tuu issues na kuishia kutoa maoni ambayo japo mengi huishia kutekelezwa mengi ya...
Kama Meli kubwa la Kimarekani USS Gerald R. Ford (CVN -78) badala ya Disel ai Petroli linatumia Nyuklia kama mafuta na linauwezo wa kukaa baharini miaka 20 hadi 25 bila kukuishiwa power.
Sisi...
Tangu TV zianze nchini, ni vipindi viwili tu ukuacha taarifa za habari amavyo vilikuwa na viewers wengi.
Kitimoto na Ze comedy Show.
Paskali Mayalla akiwa katika ubora wake alijuak utukalisha...
Anaandika Aloyce Nyanda:
Pole mkurugunzi wa jambo Tv online ndugu John Marwa kuwa Makini zaidi huu ni mtego wa mwisho
Taarifa nilizopata toka vyanzo vyangu leo tarehe 5 ni kwamba kamati ya...
Uhuru wa vyombo vya habari ni moja ya nguzo muhimu za demokrasia hasa kwenye Mataifa yanayojinasibu kufuata mfumo. Kupitia uhuru huo, wananchi hupata taarifa sahihi, viongozi huwajibishwa, na...
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.