Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

GARIMA GOSPELS NA URITHI WA KIKRISTO ETHIOPIA: USHUHUDA WA BIBLIA, HISTORIA NA MAANDIKO YA KALE Ethiopia ni miongoni mwa mataifa machache duniani yenye urithi wa Ukristo wa kale usio na dosari...
4 Reactions
14 Replies
447 Views
Kama uonavyo kwenye makampuni ama viwanda vya kutengeneza vitu mbalimbali na kwenye ulimwengu wa giza ni hivyo hivyo!? Kuna maduka maalum ya kuuza zana na vipuri vya tunguri Kuna watu maalum wa...
9 Reactions
50 Replies
633 Views
  • Redirect
Isije kuwa anajua ni akina Paschal Mayalla. Mweshimiwa akumbushwe tu kuwa kwa cheo alichonacho tungetarajia awaanike hadharani tujue moja au anyamaze jumla.
4 Reactions
– Replies
– Views
Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki. Andiko limeandikwa kwa kiingereza...
1 Reactions
1 Replies
279 Views
LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama...
4 Reactions
3 Replies
230 Views
Anonymous
Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma. Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo...
1 Reactions
3 Replies
247 Views
Kwa yanayoendelea. Ni ngumu kumuona mkristo akiishabikia Iran na pia ni ngumu kumuona muislamu akiishabikia Israel. Tena ni afadhali kwa muislamu yeye anaweza akabaki neutral ila kwa mkristo...
12 Reactions
42 Replies
717 Views
Mko poa wakuu, Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua...
1 Reactions
3 Replies
286 Views
"Silaha zenu hazina thamani dhidi ya mashambulizi yetu ya anga. Mnakufa katika mapigano ambayo tayari mmeyapoteza. Makamanda wenu wamewauza. Wanajificha katika anasa, wakichukua pesa walizoiba...
6 Reactions
10 Replies
400 Views
Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu...
6 Reactions
36 Replies
490 Views
  • Poll Poll
Unahisi nini kinachostopisha wanadamu wasiishi kwa amani?
5 Reactions
31 Replies
381 Views
ni swali fikirishi Unakuta nchi ina kila kitu: madini kibao, vivutio vya utalii, mito mikubwa, ardhi nzuri. Lakini wananchi hawaoni faida ya hayo yote. Umaskini ni mkubwa, huduma za kijamii...
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Unguja. Serikali ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na...
1 Reactions
2 Replies
167 Views
Anonymous (c723)
Habari, Ninaishi na VVU na ninatumia ARV tangu 8 February 2015 katika Kituo cha Afya Katoro Bukoba vijijini. Kwa taaluma ni Mwalimu wa shule ya Msingi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini...
11 Reactions
63 Replies
1K Views
Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umefanyika leo tarehe 5 Machi 2026 jijini Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Mkutano wa 25 wa Wakuu...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia masuala ya mtangamano wamekutana katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, ikiwa ni muendelezo wa...
1 Reactions
0 Replies
189 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaendelea na kampeni ya kuhimiza wananchi waishio karibu na mradi wa Standard Gauge Railway (SGR) kipande cha tano Isaka - Mwanza kulinda miundombinu ya reli...
2 Reactions
5 Replies
240 Views
Anonymous (7bcd)
Naomba nifichue huu uovu wa baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji waliopo Wilaya ya Muleba, wameweka “Road Barrier” maeneo ya Kasindaga wamekuwa na tabia ya kula rushwa hao na kunyanyasa watu wanaopita...
1 Reactions
5 Replies
320 Views
Kuna nchi Afrika inazifikia Iran na Korea Kaskazini nchi zilizoishi kwenye vikwazo vya kimataifa kwa muda katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ?
5 Reactions
31 Replies
541 Views
Iko hivi radha kama Malt nk nyingi zimewekwa kwenye pombe tu ila kwenye soft drink wafanya biashara wameweka kwenye Energy drink tu hivyo watu wengi wanaopenda kunywa Energy sio kwamba wanapenda...
5 Reactions
16 Replies
377 Views
Back
Top Bottom