loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,274
- 5,204
Wahenga wanadai mwanzo wa miaka ya 90 kuna mganga flani Ustadh Zenji alimvumbua Popo Bawa.
Lakini akashindwa kumdhibiti. Unaambiwa PB alimuanzia yeye kwa kumfumua marinda.
Akatoka kwenye enclosure unaambiwa Zenji maeneo ya mji mkongwe Jang'ombe huko alikuwa akitifua tope laana. Yeye anacheza na wanaume tu.
Akavuka bahari unaambiwa alivyokuwa akivuka wavuvi nao hawakupona tatua rindaz hadi Bagamoyo.
Bagamoyo alipita kote hadi Dar magogoni kote huko ni mwendo wa kutatua.
Cha kushangaza wahenga wanadai PB alikuwa selective sana. Yeye alikuwa anawavua ubingwa wanaume Kobaz tu.
Halafu utatuaji wake ulikuwa Zenji, Dar na Pwani tu.
Akishatatua anakupa masharti utangaze umetatuliwa. Ukikaidi anarudi tena mara ya pili hadi ya tatu.
Ukishupaza mara ya tatu anakupachika mimba ya bandia.
Wanadai PB anapotea(ga) kwa muda halafu anaibuka.
Source; story za vijiweni.