Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba...
9 Reactions
53 Replies
889 Views
Hiki ni kitabu alichoandika Khamenei akiwa anaelekeza sheria ya ndoa. Khamenei anasema mtoto akiingiza miaka 9 ni ruksa kumuingilia kimwili. Nilipopiga yowe la uchungu wa uzazi ni hapo aliposema...
13 Reactions
95 Replies
2K Views
Sqm400; Kiluvya, 3km from mainroad, msingi ni vyumba viwili+sebule+jiko. Hati ipo. Mil 7, pesa nusu inapokelewa.
3 Reactions
5 Replies
232 Views
Hivi ukiagiza chai ya maziwa halafu ukaletewa maziwa na majani ya kuchovya(teabags) pembeni hapo unakuwa umepewa chai ya maziwa au ni maziwa yaliyowekewa majani ya chai? Mimi nafikiri chai ya...
4 Reactions
11 Replies
252 Views
Muda mfupi baada ya Mwananchi aliyejitambulisha kuwa ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya hosteli katika chuo hicho, ufafanuzi...
4 Reactions
26 Replies
961 Views
Wakati anakwambia MTU ana MTU WAKE ukaachana nae BAADA ya wiki MOJA anakutafuta na kuanza kuomba misaada ya PESA kisa tu amekuona uko vacation. KATIKA siku ya wamama HAKIKISHA wewe binti...
3 Reactions
17 Replies
310 Views
Makala👇🏼 Simulizi za akina mama Waliojifungua kwa Upasuaji (Dar); Licha ya Serikali kusisitiza kuwa wajawazito hawapaswi kutozwa gharama wakati wa kujifungua, hali ni tofauti kwa baadhi ya...
1 Reactions
4 Replies
777 Views
Kuelekea kilelele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayoadhimishwa kesho Machi 8, 2026, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake Amani na Usalama, Balozi...
1 Reactions
1 Replies
170 Views
Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko...
3 Reactions
12 Replies
306 Views
Hapo kale, Jamii nyingi walipenda mno Pombe, mpaka ikafikia mahali vitabu vya dini vikatamka wazi ahadi ya uwepo wa mito ya mvinyo huko Mbunguni. Yesu pia aliwahi tengeneza divai katika harusi...
6 Reactions
36 Replies
490 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watu waache dhulma. Watu waache utapeli. Watu waache kula jasho la watu wengine. 2. Asilimia kubwa ya wanaume huoa/kuishi na wanawake wakiwa bado...
7 Reactions
37 Replies
817 Views
Nimesikia serikali ikisisitiza kuwa Tanzania sasa ni tulivu na kila kitu kiko sawa. Tamko hili tamu sana. Lakini kuna haya, yatusaidie kutofautisha utulivu na amani: 1. Sijamsikia kiongozi yeyote...
2 Reactions
1 Replies
151 Views
Roho wa bwana(holy spirit) nini ni roho ambayo anaisha ndani ya Mwanadamu(Man). Kila binadamu ana roho wa bwana ndani yake, katika kitabu cha Mwanzo katika bibilia kinasema Mungu aliumba Mtu kwa...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika. Hata hivyo...
1 Reactions
3 Replies
266 Views
Kwa nini mara nyingi wale waliokuwa “genius” darasani wakimaliza shule wanapata ugumu kutoboa kwenye biashara au kujiajiri? 🤔
6 Reactions
41 Replies
875 Views
Anonymous
Tunaomba mamlaka zinazohusika na udhibiti wa vyakula zihakikishe kuwa tarehe ya mwisho wa matumizi (expire date) inawekwa kwa uwazi na kwa maandishi yanayosomeka vizuri kwenye bidhaa, ili kulinda...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu. Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka...
9 Reactions
21 Replies
714 Views
Sote tunafahamu kwamba, michuano ya kombe la dunia imepangwa kufanyika kuanzia mapema mwezi June 2026. Lakini kutokana na hali ya kiusalama kudorora duniani, hasa ndani ya miongoni mwa nchi...
7 Reactions
54 Replies
780 Views
Kuna watu utawasikia Oooo Mapenzi yanauma hakuna mfano wake, mara ukiachwa mapenzi yauma usiku, wewe wewe Kijana mwenzangu hivi ushawahi poteza pesa ambayo umetoka kuikopa utatue changamoto...
7 Reactions
15 Replies
421 Views
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa linaendelea na Maandalizi ya Mazoezi mawili ya Kijeshi yatakayofanyika hapa nchini ambapo Wananchi wametaarifiwa kutokuwa na taharuki...
11 Reactions
163 Replies
8K Views
Back
Top Bottom