Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika...
Nina ndugu yangu ambaye anauza duka Mitaa ya Sinza, hilo duka siyo mali yake, yeye ameajiriwa tu, jana tarehe 5 Machi, 2026 kuna maafisa wa Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo walipita...
Nimesoma kisa cha patrickk na bado nafuatilia wakati tukiendelea kumsubiria naomba nami nishare na nyinyi historia ya maisha yangu kwa ufupi. nia visa humu ni kujifunza, kushauriana na kutiana...
Wadau wa mziki wa bongo fleva watakua wanamtambu huyu msanii wa kike Rubby.
Ni msanii mwenye vocal nzuri ya ajabu aliyeibuliwa kutoka jumba la vipaji la Tanzania(THT).
Kwa hivi sasa anawika na...
Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
Hii ni Al-Kaaba ikiwa imetandwa shuka jeusi. Kiswah, kitambaa chenye aya za Qur’an zilizochorwa kwa uzi wa dhahabu, kimeundwa kwa vipande 41 na hubadilishwa kila mwaka.
(Kaaba History, Sabir...
Kupoteza katika maisha ni sehemu ya maisha ya mwanadamu.
Kwa nini Mungu anayarohusu ayo kupoteza kazi, ajira, biashara, watu kukumbia either family, marafiki, ndugu, hali mbaya ya kiafya n.k...
CEO wa Anthropic kampuni inayomikiki Claude anasema kwamba kampuni hiyo haiwezi tena kuthibitisha kwa uhakika kuwa AI yake ya Claude haijafikia level ya Conciousness. mtazamo huo unatokana na...
MUUNGWANA AKIVULIWA NGUO HUCHUTAMA.
Tukubali tukatae ila Tanzania tuna media za kipuuzi kuwahi kutokea, sio Clouds, IPP Media, mwananchi ila Media za Tanzania kwa 90% ni utumbo kabsa.
Mwaka...
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, na mwanadada Doreen Masawe wameibuka washindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda...
Na Ruth Kyelula, Manyara
Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa...
Naam ni vipimo vya kuthibitisha kama wakubwa wanafurahi ama la.
Pia vitakuwa vinatuma taarifa TCRA ili kuokoa muda kwamba jambo fulani limewakasirisha wakubwa.
Pia kipimo hakitajali tafsiri ya...
Ni katoto ka mwaka mmoja na miezi kama mitatu hivi.
Kakiwa na usingizi tu basi ni lazima kanyonye kidole chake ndo kanalala vizuri, ukijaribu kukatoa tu anaamka na ugomvi (kilio) unakuwa mkubwa...
Habari za asubuhi.
Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa...
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku.
Wana visirani na viburi sijawahi ona.
Picha linaanza akikata...
Raha sana pale unapokuwa ubanda katika hali ya utulivu.
Pengine waweza kuwa unazimua au ndio unaanza kukata kiu.
Mama muuza anawaweka katika hali ya kuwaficha kukwepa vijineno vya kijijini.
Ni...
Wasiyoyajua Waislamu wengi
Utakuta shekhe/ustadhi/kijana wa kislamu amevimba mishipa ya shingo akiisifia Quran kuwa ni kitabu cha pekee kilichotunzwa toka karne ya 7, kwamba kina mambo ya sayansi...
Lebanon ni nchi yenye historia ndefu sana, historia inayofika moja kwa moja kwenye kurasa za Biblia.
Hata kabla ya kuingia kwenye maandiko au akiolojia, kuna ushahidi mmoja unaojitokeza wazi hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.