wakuu,biashara ya choo cha kulipia ikoje?

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,072
Reaction score
1,720
Naona biashara hii imeshamili kwa kasi sana!
Naomba nipate ABC kwa nyie mnaofanya hii biashara!!

Mtu amechukua choo gorofani analipisha wateja! Je n biashara nzuri kuwekeza?

mfano: NIMEULIZIA CHOO HAPA KODI YAKE 8M KWA MWAKA
Location :Ni mjini kati sehemu za biashaara
Matundu :4
Activities: sehemu ya maduka ya jumla
Kodi: milion8 kwa mwaka
Repair: NO
JENGO: sijui mmiliki najua msimamizi ila n mtu binafsi
7.mkataba wa mwaka mmoja mmoja
 
Doh, ili ujibiwe ili swali Kuna taarifa nyingi sana unaitaji kutoa:

1. Location.
2. Matundu mangapi.
3. Activities za hapo.
4. Kodi
5. Inaitaji repair
6. Jengo la nani?
7. Unaingia mkataba wa mda ?

Ukweli kuhusu ubora wa Biashara unapatikana kwenye hizo taarifa hapo juu.

Swali : Umetoa hizo taarifa ili anayeshauri akupe jibu reliable?
 
Naona biashara hii imeshamili kwa kasi sana!
Naomba nipate ABC kwa nyie mnaofanya hii biashara!!

Mtu amechukua choo gorofani analipisha wateja! Je n biashara nzuri kuwekeza?
Biashara ya kulipisha choo ni uwekezaji mzuri na wenye mzunguko wa haraka wa pesa taslimu, hasa maeneo ya mijini yenye msongamano mkubwa wa watu kama masokoni au stendi.

Mfumo wake unategemea makusanyo ya papo kwa papo kutoka kwa wateja wanaolipia huduma ndogo, kubwa, au kuoga, huku gharama kubwa za uendeshaji zikiwa ni bili za maji, umeme, mishahara ya wasafishaji, na vifaa vya usafi.

Uzuri wa biashara hii ni kwamba uhitaji wa choo ni wa lazima na endelevu, hivyo hauhitaji kutafuta wateja kwa nguvu wala kuuza bidhaa zinazoharibika, jambo linalofanya faida yake kuwa kubwa ukilinganisha na gharama za kila siku.
 
Doh, ili ujibiwe ili swali Kuna taarifa nyingi sana unaitaji kutoa:

1. Location.
2. Matundu mangapi.
3. Activities za hapo.
4. Kodi
5. Inaitaji repair
6. Jengo la nani?
7. Unaingia mkataba wa mda ?

Ukweli kuhusu ubora wa Biashara unapatikana kwenye hizo taarifa hapo juu.

Swali : Umetoa hizo taarifa ili anayeshauri akupe jibu reliable?

Location :Ni mjini kati sehemu za biashaara
Matundu :4
Activities: sehemu ya maduka ya jumla
Kodi: milion8 kwa mwaka
Repair: NO
JENGO: sijui mmiliki najua msimamizi ila n mtu binafsi
7.mkataba wa mwaka mmoja mmoja
 
Biashara ya kulipisha choo ni uwekezaji mzuri na wenye mzunguko wa haraka wa pesa taslimu, hasa maeneo ya mijini yenye msongamano mkubwa wa watu kama masokoni au stendi.

Mfumo wake unategemea makusanyo ya papo kwa papo kutoka kwa wateja wanaolipia huduma ndogo, kubwa, au kuoga, huku gharama kubwa za uendeshaji zikiwa ni bili za maji, umeme, mishahara ya wasafishaji, na vifaa vya usafi.

Uzuri wa biashara hii ni kwamba uhitaji wa choo ni wa lazima na endelevu, hivyo hauhitaji kutafuta wateja kwa nguvu wala kuuza bidhaa zinazoharibika, jambo linalofanya faida yake kuwa kubwa ukilinganisha na gharama za kila siku.

Ok asante mkuu
 
Location :Ni mjini kati sehemu za biashaara
Matundu :4
Activities: sehemu ya maduka ya jumla
Kodi: milion8 kwa mwaka
Repair: NO
JENGO: sijui mmiliki najua msimamizi ila n mtu binafsi
7.mkataba wa mwaka mmoja mmoja

1. Ukijua Mmiliki na ukakutana naye hiyo ni kati ya Biashara nzuri kweli, usikubali kupanga kwenye Biashara kwa mtu kati. Hiyo ndo biashara ambayo wateja is a guarantee!
 
Kabisa, baadaye atapotea mtu kati Mmiliki atakuja kuongeza Bei, weka mkata na Mhusika hata wa miaka 3 same price, then ndo muanze negotiation tena, wenye Nyumba wamenirudisha nyuma sana kwenye Biashara zangu

wanatamaa sana hasa wakiona chochote kitu kinaingia
 
Back
Top Bottom