Habari zenu Ndugu zangu?
Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Mtu anaweza kuwa na uwezo wa kumsaidia mwenzake anayepitia wakati mgumu, lakini akaamua kukaa kimya kana kwamba tatizo hilo halimhusu...
Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora...
Habari zenu, hii iliniuma.
Nilipomuona rafiki yangu akiwa amelala ndani ya jeneza nilitambua jambo moja, maisha ni mafupi kuliko tunavyofikiri.
Mtu ambaye jana alikuwa anatembea, akicheka...
Wakaaji wa maeneo ya kuanzia Devis Kona mpaka Buza wilaya ya Temeke tunapata changamoto ya magari ya Muhimbili sababu magari hayo huishia Tandika ingali kwamba yameandikwa Buza - Muhimbili...
Matukio ya uhalifu katika maeneo ya Juhudi, Ilemi Mapelele na eneo linaloitwa Janga Video, Kata ya Ilemi, Mbeya Mjini, Kumekuwa na matukio ya watu kupigwa nondo, kukatwa kwa mapanga na kuporwa...
Meli ya kihistoria MV Liemba, yenye umri wa miaka 113, imerejea katika Ziwa Tanganyika baada ya kukamilishiwa ukarabati mkubwa uliogharimu Sh bilioni 34. Ukarabati huo umehusisha injini, jenereta...
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja...
Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji.
Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza...
Hapa Bonyokwa maeneo ya kwa Lista kuna kanisa kubwa - Kanisa la Ufufuo kwa Bendera linapiga muziki muda wote muziki mkubwa sana hii inakuwa kero sana watu tunashindwa kupumzika, kuna wagonjwa...
Madereva wa Bajaj njia ya Mbagala Vikindu tunazuiwa kupita Mwandege kisa wanasema Bajaj haziruhusiwi kuvuka mkoa na ukipita na abiria unaandikiwa hadi vyeti vitano kwa wakati mmoja.
Hakuna...
Mwenye maarifa hutafuta ukweli hata pale unapopingana na mawazo yake. Lakini mwenye kiburi hutafuta ushindi hata pale anapokuwa amekosea.
Ndiyo maana si kila anayepaza sauti ana hoja, si kila...
Pendekezo kwa Serikali: Dar es Salaam Institute of Technology (DIT) iwe Tanzania Institute of Technology (TIT).
Hadi sasa DIT ina Campus nne
DIT main Campus (imeanzishwa 1957)
DIT MWANZA Campus...
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':
1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa, amezihimiza taasisi za majeshi nchini kusajili na kulinda bunifu zao kisheria ili kutambua umiliki wake...
Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.