Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,988
- 15,170
Hizi imani zenu kila siku mtaambiwa kwa mungu kuna bikra 74,kwa mungu kuna rahaa,kwa mungu mapipa ya pombe,kwa mungu kuna kuimba na kucheza.
Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye stop ya dunia tujue moja.
Maana hata huko alishindwa kumzibiti mdogo wangu shetani.
Huyu mungu kama ana mapenzi na dunia kwa nini asifanye stop ya dunia tujue moja.
Maana hata huko alishindwa kumzibiti mdogo wangu shetani.