Eneo linauzwa morogoro -mvomero lipo kalibu na hospital ya mvomero,barabara ya mvomero na ni km10 tu toka dodoma road ndani ya eneo kulikua na uwekezaji wa madarasa mawili,minazi na mabwawa ya...
Wananchi, Wilaya ya Hai, Kata ya KIA, Kijiji cha Sanya station kuna changamoto ya Mto Sanya kujaa magogo na daraja kutokupitika yapata sasa zaidi ya miezi mitano. Hali hiyo ilitokana na kusombwa...
Salam wana JF, naandika haya nikiwa na masikitiko makubwa juu ya uonevu unaofanywa na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) juu ya baadhi ya wafanyakazi wenzetu ambao wanaonewa na hawana...
Katika utitiri na mfululizo wa ujenzi holela wa makanisa kila sehem/kona,hilo kanisa likifunguliwa lazima kuna nabii wake.
Huu mfumo umekuwa endelevu na unapata nguvu Kila siku kutokana na ujinga...
Hayo yamebainishwa na Dkt Tibera Rugambwa, Kaimu kitengo cha saratani Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya inayohudumia mkikoa saba ya Mbeya,Iringa, Njombe,Songwe,Ruvuma,Rukwa na Katavi wakati wa...
Mdau kutoka Arusha naomba kufichua vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali ya pembezoni mwa barabara, hususan barabara zinazoendelea kufanyiwa...
Familia ya Kijana Frank Stanley mwenye umri wa miaka 27 Mkazi wa Bukoba aliyefariki dunia Septemba 02, mwaka huu katika Hospital ya Kanda ya Bugando Jijini Mwanza akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la...
MANZINI, Eswatini. The African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD) and the Southern Africa Development Community Organisation of Public Accounts Committees (SADCOPAC) have...
Benki za Tanzania, CRDB Plc na NMB Plc, zimeingia kwenye orodha ya Forbes ya Benki Zinazofanya Vizuri Zaidi Duniani mwaka 2026, zikishika nafasi miongoni mwa benki 500 zilizotathminiwa kutoka nchi...
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki...
Kuna wimbi kubwa sana la wadada na wamama kuendesha pikipiki hizi za kuchaji kati kati ya miji.
Kwangu Mimi naona ni jambo jema lakini wengi wenu hamzingatii kabisa Sheria za barabarani na Nina...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo leo Sept 16, 2026 ameongoza kikao cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa ardhi katika eneo la Litingi lilipo kata ya Mitengo...
Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Singida vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natarajia kukaa hapa kwa mwezi mmoja
Natanguliza shukran.
●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili...
Kumekuwa na mkanganyiko wa nauli za daladala zinazotozwa na waedesha/WAMILIKI dAladala mjini Tanga. Kila gari linatoza linavyojifikiria ka sababu HAKUNA MWONGOZO.
KAGUENI MAGARI NA HAKIKI NAULI...
Utabiri wa sasa unaonyesha kuwepo kwa "Super El Niño" inayokuwa kwa kasi kubwa na inayoweza kuweka historia.
Hali hii inatokea katika Bahari ya Pasifiki na inatarajiwa kufikia kilele mwishoni mwa...
Kuna kundi la vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ambao huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki binafsi kuwapeleka abiria wanaosafiri.
Vijana hao, ambao hawana utambulisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.