Waislamu wa sasa vitu 2 tunafeli sana

Waislamu wa sasa vitu 2 tunafeli sana

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,465
Reaction score
14,717
1. Mpira
2. Uchawa

Mpira
Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa

2. Uchawa
Utamkuta muislam anasema maneno ambayo anajua ni kosa ktk dini
Kwa mfano utamsikia kijana au mzee anasema yeye hatukubali kuingia peponi bila flani ambae sio muislam akae nje ya pepo.
Akiimanisha kwamba atalazimisha asiekuwa muislam kuingia peponi au yeye yupo tayari amfate asiemuislam ktk makazi yake .Huu ni ushetani
Quran inasemaje?

Aya ya 34: Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake.
Aya ya 35: Na mama yake na baba yake.
Aya ya 36: Na mke wake na watoto wake.
Aya ya 37: Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosheleza.
Mafunzo ya aya hizi
Siku hiyo, hofu na uzito wa Hesabu vitakuwa vikubwa kiasi kwamba kila mtu atakuwa akijishughulisha na hali yake mwenyewe.

NINI ANATAKIWA AFANYE KAMA MUISLAMU ANATAKA AWE PAMOJA PEPONI NA ASIEKUWA MUISLAMU?
Amlinganie hapa hapa duniani ili aingie ktk uislam na sio kusubiri huko. Huko ni kujidanganya
 
Hakuna kulazimisha katika dini.

Mwenyezi Mungu hatombadili mtu,hadi mtu mwenyew abadili yaliyomo kifuani mwake.
 
1. Mpira
2. Uchawa

Mpira
Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa

2. Uchawa
Utamkuta muislam anasema maneno ambayo anajua ni kosa ktk dini
Kwa mfano utamsikia kijana au mzee anasema yeye hatukubali kuingia peponi bila flani ambae sio muislam akae nje ya pepo.
Akiimanisha kwamba atalazimisha asiekuwa muislam kuingia peponi au yeye yupo tayari amfate asiemuislam ktk makazi yake .Huu ni ushetani
Quran inasemaje?

Aya ya 34: Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake.
Aya ya 35: Na mama yake na baba yake.
Aya ya 36: Na mke wake na watoto wake.
Aya ya 37: Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosheleza.
Mafunzo ya aya hizi
Siku hiyo, hofu na uzito wa Hesabu vitakuwa vikubwa kiasi kwamba kila mtu atakuwa akijishughulisha na hali yake mwenyewe.

NINI ANATAKIWA AFANYE KAMA MUISLAMU ANATAKA AWE PAMOJA PEPONI NA ASIEKUWA MUISLAMU?
Amlinganie hapa hapa duniani ili aingie ktk uislam na sio kusubiri huko. Huko ni kujidanganya
ok.🐒
 
Dini ni utapeli tu, haya ni mashairi kama ya Shabaan Robert kusadikika.
 
Kwa mfano mtu kama Bakhressa, amejenga misikiti mingi na bado anaendelea kujenga, anasaidia jamii iliyomzunguka, analipa zaka nk.
Ikiwa ametekeleza yote yanayo mpendeza Mwenyezi Mungu sasa anapoanzisha timu ya mpira ili kufurahisha nafsi yake kuna shida?
 
Hii sawa na ndoo ya asali Lita 20 halafu ukatia mavi ya mtu kijiko 1. Jee weye utaila asali ukijua hivyo?
 
1. Mpira
2. Uchawa

Mpira
Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa

2. Uchawa
Utamkuta muislam anasema maneno ambayo anajua ni kosa ktk dini
Kwa mfano utamsikia kijana au mzee anasema yeye hatukubali kuingia peponi bila flani ambae sio muislam akae nje ya pepo.
Akiimanisha kwamba atalazimisha asiekuwa muislam kuingia peponi au yeye yupo tayari amfate asiemuislam ktk makazi yake .Huu ni ushetani
Quran inasemaje?

Aya ya 34: Siku ambayo mtu atamkimbia ndugu yake.
Aya ya 35: Na mama yake na baba yake.
Aya ya 36: Na mke wake na watoto wake.
Aya ya 37: Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na jambo lake litakalomtosheleza.
Mafunzo ya aya hizi
Siku hiyo, hofu na uzito wa Hesabu vitakuwa vikubwa kiasi kwamba kila mtu atakuwa akijishughulisha na hali yake mwenyewe.

NINI ANATAKIWA AFANYE KAMA MUISLAMU ANATAKA AWE PAMOJA PEPONI NA ASIEKUWA MUISLAMU?
Amlinganie hapa hapa duniani ili aingie ktk uislam na sio kusubiri huko. Huko ni kujidanganya
Sema Waislam wa Dar
Wengine huku mikoani hata hawajui jina mchezami mmoja wa Yanga au Simba
 
Kwahiyo nikimlingania mtu akisilimu nakuwa pamoja na pepo?
Huwa mnaandika Porojo kweli kweli.
 
Achana na udini uo ujumbe ni kwa watu wote acha ubaguzi
 
Back
Top Bottom