Rafiki yangu moja ana uwezo wa ajabu wa kutafuna aloevera for fun, kama wewe ambavyo unaweza kutafuna mua, mandazi au kunywa soda
Ikumbukwe hakuna kitu kichungu zaidi ya aloevera mimi...
Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja.
Anasema hawakumshangaa kwani hata...
Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya wanaongoza kipindi cha Maskani 47, Billy Miya na Mbaruk Mwalimu wakiwa kwenye kipindi wametoa madai ya kupokea vitisho kutoka Tanzania wakieleza sababu ni...
Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini?
Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi.
===
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii...
BAKWATA wametangaza kuwa swala ya Eid ni jumamosi
Kwaiyo watumishi wa serikali kesho kazini kama kawaida
BAKWATA ni taasisi ya maelekezo
BAKWATA inahitaji katiba mpya
Jana nilisoma ujumbe wa Sheikh mkuu kuwa mwezi haujaandama na kwa mawasiliano ya (wenzetu) kutoka sehemu jirani ikasemwa Kenya, Uganda na Zanzibar kuwa hakuna taarifa ya mwezi ila cha kushangaza...
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limewajulisha Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitri itakuwa Machi 20, au 21, 2026 kutegemea mwandamo wa mwezi na kueleza...
Mufti wa Tanzania Sheikh Dr. Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana ametangaza mwezi haujaandama leo Tarehe 19 Machi 2026 sawa na Ramadhani ya 29. Hivyo kesho tarehe 20 Machi tunakamilisha Ramadhani 30...
Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo!
Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na...
Imebidi niulize wadau labda mnajua alikoishia Au labda mkataba wake umemalizika
Imekuwaje apotee wakati ambao wapambe wanahitaji kusikia sauti ya shujaa wao?
Mwamba huyu hapa..[emoji116][emoji116]
Kati ya walinzi wa marais ambao walitokea kuwa na umaarufu fulani hapa TANZANIA ni huyu jamaa.
Tunaweza kusema Jamaa alipendwa na vijana wengi, alitazamika...
Kumbe sio usa tu pekee imesaidiwa na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia hata urusi pia ambayo tunaaminishwa itasaidia iran imesaidia pakubwa sana na wayahudi katika maendeleo ya tecnolojia...
TAARIFA KWA UMMA
Hivi karibuni tutaingia kipindi ambacho waumini wa dini ya Kiislamu watahitimisha Mfungo Mtukufu wa mwezi wa Ramadhani ambapo wataungana na Waislamu wenzao duniani kusherehekea...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya...
Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu...
Akihojiwa katika kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV, Mhandisi Aron Joseph, Mkurugenzi Wa Mamlaka Ya Maji Safi Na Usafi Wa Mazingira, Dodoma amesema kama mtu amechimba kisima cha maji anasisitizwa...
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanzisha mpango wa kuunganisha kaya 951 na gesi asilia mwaka huu wa fedha. Mradi huo utaunganisha kaya 451 katika mkoa wa Lindi na kaya nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.