Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini za uzima leo nimewaza tu nkajiuliza Huko nyuma sikuwa na vyu.Ba vya kupangisha..Bahati kuna madada zangu wawili niliwapangishia ubungo Mwenye nyumba akawapa namba wakawa wanatuma badae...
3 Reactions
15 Replies
341 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
9 Reactions
130 Replies
8K Views
Anonymous
Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya...
1 Reactions
0 Replies
213 Views
Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na...
3 Reactions
28 Replies
729 Views
Barabara inayotoka chalinze kwa mwarabu kuelekea Talawanda Sekondari inatia AIBU haipitiki hasa eneo la Daraja la Mbiki badala ya kuweka kokoto wameweka udongo wa Mfinyanzi ni tope tupu magari...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Ndugu wana JF, Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na...
142 Reactions
4K Replies
685K Views
Wadau habari za muda huu, Naomba mnijuze wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado. Kwa yoyote mwenye kujua anijuze.
2 Reactions
200 Replies
29K Views
Waungwana naomba kuuliza mwenye taarifa za salary ya mwezi huu kama imetoka kuna mtu namdai hapa
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Ni angalizo tu, maana sikukuu huwa zinatutia kichaa! Tumieni kwa busara. Naona huku "Waja Leo Waondoka Leo" hekaheka hazipimiki! Sikukuu njema
3 Reactions
7 Replies
302 Views
Ni kamchezo fulani ambako usipokuwa na displine anguko lako lipo karibu, Sikuelewa wakati nilipomuona mtu anaedai kupoteza kila kitu kwenye kamari, Nilimuona mjinga nikijiuliza "Amepotezaje???"...
12 Reactions
18 Replies
493 Views
⚠️ TAARIFA YA MTOTO ALIYEPOTEA ⚠️ Tunaomba msaada wa wananchi wote. Mtoto anayeitwa EDITHA ERICK ameripotiwa kupotea tangu juzi saa 1 usiku na mpaka sasa bado hajapatikana. 📍 Maeneo...
2 Reactions
5 Replies
281 Views
Mik 5:4 SUV [4] Naye atasimama, na kulisha kundi lake kwa nguvu za BWANA, kwa enzi ya jina la BWANA, Mungu wake; nao watakaa; maana sasa atakuwa mkuu hata miisho ya dunia. Kipindi nabii Mika...
5 Reactions
6 Replies
179 Views
Anaandika Polo Kimani The first thing Mzungu did when he introduced education here,was ensuring he engineered in the african mans brain that his home is not his home. Those in kenya,were told...
2 Reactions
2 Replies
206 Views
Kuna hii tabia ambayo imeshakuwa mazoea kwa wengi wa masheikh wa kitanzania na Afrika kwa ujumla kuchanganya dini na uganga au uchawi. Utakuta mtu kasoma dini vizuri na ana elimu kubwa lakini...
23 Reactions
502 Replies
13K Views
  • Redirect
Nimeona taarifa mtemi wa jf ameachiwa huru baada ya kushinda rufaa, hata hivo alibakiza muda mchache amalize kifungo chake Alifungwa kwa kosa la kumuita mama yake na baadhi ya viongozi wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nimejaribu kuwaza kwa sauti tu.... Elimu/ujuzi wa veta imekua ni elimu ambayo wengi wanaifata baada ya kuwa wamefanya vibaya kimasomo na mara nyingi baada ya kufeli elimu ya secondari au wengine...
1 Reactions
1 Replies
244 Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa...
6 Reactions
33 Replies
991 Views
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kutekeleza matukio mbalimbali ya uvamizi na upigaji wa nondo na kupora mali za wananchi jijini Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Wakuu Nimekuta na Video pamoja na picha hizi zikionyesha eneo kubwa limefyekwa Mahindi, kwangu hii si sawa kwani mahindi naamini hayana muda mrefu kuvunwa shambani, wangesubiri tu. Hali ya...
0 Reactions
10 Replies
245 Views
Jinsi Mungu anaweza akaleta baraka katika maisha yako. 1.Mungu anaweza kuleta baraka kwa kukutanisha na mtu anaweza kuwa rafiki au mpenzi akakupenda wewe jinsi ulivyo, kukujali, kukuheshimu na...
1 Reactions
0 Replies
278 Views
Back
Top Bottom