Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi 1,035,047,200/= za ujenzi wa dharura wa barabara ya Kasamwa-...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa Mwaka 2026/27 ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za...
Kero yangu ni kuhusu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Najiuliza, je, huwa hawatembei nchi nyingine kuona jinsi wenzetu wanavyotunza bustani zao zilizotengwa kwa ajili ya wananchi kupumzika...
Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la...
Wenzetu wanapenda dini yao usipime. Huku kwetu kumekucha. Watu wananunua nguo usipime! Nyama hakuna! Kuku wote wameisha sokoni! Bata nao leo wamepata soko!
Vimbuzi vinalia!
Mbuzi Katoliki...
Kilimanjaro Marathon 2026 inakuja… lakini swali ni hili:
Kwa nini bado inaonekana kama event ya wageni kuliko sisi wenyewe?
Kila mwaka wageni wanajaa Moshi, wanakimbia, wanatumia pesa… sisi...
walimu ajira mpya waliokidhi vigezo vya kuthibitishwa kazini tangu February 2026 halmashauri ya dodoma jiji bado hawajathibitishwa kazini .
ukifuatilia TCS na utumishi dodoma jiji baadhi ya...
Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo...
Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
Iran kwa washia pamoja na vita vyao kesho wanaangusha ngamia MashaAllah nako Saudia chimbuko la sunni nako kesho ni shughuli yani middle east yote kesho ni bata batani
Inashangaza tanzania...
Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu.
Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku...
Kampuni ya teknolojia Meta imezindua mpango mpya unaolenga kuwavutia watengeneza maudhui maarufu (creators) kutoka majukwaa pinzani kama TikTok na YouTube kuhamia Facebook.
Mpango huo...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu Askari Polisi namba F.4987, Sajenti Rogers Mmari wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua...
Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media.
1. Joseph Mihangwa
2. Ahmed Rajab
3. Edo Kumwembe
4. Jenerali Ulimwengu
5. Maggid Mjengwa
6. Irene Mwamfupe
7...
Eid Mubarak 🌙✨
Nawatakia nyote sikukuu njema iliyojaa furaha, amani na baraka tele.
Mwenyezi Mungu azikubali ibada zenu zote, awajaalie afya njema na mafanikio katika kila jambo mlipangalo...
Wana Jamvi kwa Mujibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar ni Kwamba Mwezi haujaandama kama haujaandama maana yake leo ni Ramadhani 29 hivyo kesho zinakamilika Ramadhani 30 na Jumamosi itakua Shawal...
Wakati tunakua,tuliaminishwa ujinga kupitia wafuasi wa MwampoSa ,Mwingil,Jasusi kwa Israel ni taifa teule,taifa la Mungu.
Na ukutane na Mlokole wa nzega au Msafwa humuelezi kitu kuhusu Israel...
Sehemu zinazozungumziwa ni zenye uwezo wa kuwa na nguvu ya kujitungia sheria na kujitawala mfano nchi, nchi zilizo ndani ya muungano au mfumo wa serikali unaoruhusu majimbo yajitawale na...
Hivi hili shirika DAWASA vipi?Waziri mwenye dhamana ya maji uko wapi? Inakuwaje wakazi wa Mbezi-Goba tunaishi kama tupo jangwa la Sahara? Miezi ya nyuma mlisema kina cha maji kwenye vyanzo vya...
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam — Fundi wa mashine za photocopy kutoka Temeke, Mtega Thadei (33), sasa ana matumaini mapya ya kukuza kipato chake baada ya kushinda pikipiki kupitia kampeni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.