Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous (43ef)
Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na...
1 Reactions
6 Replies
405 Views
Anonymous
Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku. Mwezi...
1 Reactions
2 Replies
161 Views
Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme, Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo...
0 Reactions
15 Replies
313 Views
Mafanikio sio kuwa na fedha na mali pekee Mafanikio pia ni kuwa na amani ya moyo Mafanikio pia ni kubadilisha jamii kifikra, mawazo, kiimani. Mafanikio pia ni kuleta mabadiliko chanya katika...
3 Reactions
1 Replies
77 Views
TAARIFA KWA UMMA Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuari ya Wilaya ya Lushoto imeona taarifa iliyotolewa katika Mtandao wa kijamii wa JamiiForums ikieleza kwamba katika Shule ya Msingi...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Wadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan...
28 Reactions
132 Replies
2K Views
Leo ndugu zanguni nimesikitika sana kutokumuona member mwenzetu MIN-ME. Maana leo kila post nayopita hakuna comment wala like yake imenisikisha sana leo Au sijui kazidiwa na majukumu au mgonjwa...
12 Reactions
64 Replies
658 Views
Mwaka 2013 nilipata kazi kwenye kampuni moja katika branch yake Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu, sasa basi maisha yalianza kwa kufanya kazi kwa sababu sikua najua chochote ilibidi nijifunze kupitia...
34 Reactions
68 Replies
9K Views
[12/24/2021 12:36 PM] Bond: Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi: SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti...
3 Reactions
3 Replies
157 Views
Habari hii ni kwa wenye akili tu za kusoma mazingira na kupata majibu. Kwaherini na usiku mwema.
3 Reactions
5 Replies
202 Views
Lete habari SUNNI as opposed to SHIA
3 Reactions
3 Replies
200 Views
1. Je, askari wa aina gani anaruhusiwa kusimamisha na kukagua magari barabarani? Kwa mujibu wa kif.95 cha Sheria ya Usalama Barabarani (RTA), askari yeyote wa Polisi anaruhusiwa kusimamisha na...
4 Reactions
9 Replies
573 Views
Ni kwanini tukasirike badala ya kujivunia tulivyo? Watanzania, wanaume kwa wanawake, mara nyingi tunaonekana kukasirika sana tukitajwa kuhusu maumbile yetu, kama vile kuitwa tuna visogo. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Leo, baada ya muda usio na jina, nimelala mchana...nikaona uuuuuuf...mwili unasema "shukrani" Si afya kutokutuliza akili, nafsi na mwili. Hata hivyo kuna wakati hauna jinsi, nami nimekuwa kwenye...
8 Reactions
21 Replies
304 Views
Ripoti mpya ya Furaha Duniani (World Happiness Report) ya mwaka 2026 iliyotolewa leo, imeendelea kuipandisha kizimbani Tanzania baada ya kuishikilia nafasi ya chini katika orodha ya mataifa yenye...
4 Reactions
14 Replies
442 Views
DARK PSYCHOLOGY 🧠 1. Mtu akikuomba msamaha, usiseme “hakuna shida.” Sema “Asante.” Hapo anahisi kosa lake lina uzito… na mara nyingi hatolirudia. 2. Ukipiga miayo kisha mtu mwingine naye akapiga...
5 Reactions
9 Replies
266 Views
Huu uzi unawahusu mafundi aina zote haswa mafundi ujenzi. Usione watu wana miliki nyumba zaidi ya 10 ukadhani zote wamejenga kihalali kumbe nyuma ya pazia kuna uchafu umefanyika kukamilisha...
3 Reactions
25 Replies
651 Views
CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane. Zingatia mambo...
4 Reactions
6 Replies
255 Views
Wiki ya tatu hii maji hayatoki kabisa lakini cha kushangaza bili ipo pale pale. Aisee DAWASA acheni michezo hiyo
5 Reactions
22 Replies
635 Views
Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata...
1 Reactions
4 Replies
206 Views
Back
Top Bottom