Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama, Kwa taarifa...
8 Reactions
25 Replies
730 Views
Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe. Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo. MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis...
51 Reactions
504 Replies
90K Views
𝟭. 𝗦𝗔𝗠𝗘𝗛𝗘 / 𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗦𝗔𝗛𝗔𝗠𝗔 𝖸𝗎𝗆𝗄𝗂𝗇𝗂 𝗆𝗐𝖺𝗄𝖺 𝗎𝗇𝖺𝗉𝗈𝗂𝗌𝗁𝖺 𝗄𝗎𝗇𝖺 𝗐𝖺𝗍𝗎 𝗐𝖺𝗅𝗂𝗄𝗎𝗎𝖽𝗁𝗂 𝗄𝗐𝖺 𝗆𝖺𝗇𝖾𝗇𝗈 𝖺𝗎 𝗆𝖺𝗍𝖾𝗇𝖽𝗈 𝗒𝖺𝗈 𝗄𝗐𝖺𝗄𝗈. 𝖯𝗂𝖺 𝗐𝖺𝗉𝗈 𝗐𝖺𝗍𝗎 𝖺𝗆𝖻𝖺𝗈 𝗐𝖾𝗐𝖾 𝗎𝗅𝗂𝗐𝖺𝗎𝖽𝗁𝗂 𝗄𝗐𝖺 𝗇𝖺𝗆𝗇𝖺 𝗆𝗈𝗃𝖺 𝖺𝗆𝖺 𝗇𝗒𝗂𝗇𝗀𝗂𝗇𝖾. 𝖯𝗂𝖺 𝗒𝗎𝗉𝗈 𝖬𝗎𝗇𝗀𝗎 𝗃𝗎𝗎 𝖺𝗆𝖻𝖺𝗒𝖾...
18 Reactions
25 Replies
2K Views
Mzee wa Minyama Maulid Kitenge amevunja ukimya na maswali mengi kwa kusema amerudi darasani huku akiwaambia Mashabiki wake wasiwe na wasi wasi siku sio nyingi watamsikia Redio akiipakua Minyama.
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Umeme saivi unaweza kukatika hata mara tano na kurudi ndani ya dakika 15 hadi 20, sijui kuna shida gani maana najiuliza ni kwangu tu au ni kila sehemu? Mtaani kwako hali ya kukatikakatika kwa...
3 Reactions
6 Replies
809 Views
Katika vitu ninavyotamani sana kuviona vikitokea duniani miaka ndani ya miaka ishirini ijayo ni siku moja viumbe kutoka sayari nyingine kutembelea duniani kwa wazi kabisa waonekane kwenye camera...
6 Reactions
66 Replies
999 Views
Kipindi akiwa hai watu hulalamika hafai, mbaya ila akifa sifa lukuki. Au ndio marehemu hasemwi vibaya. Je ni sahihi binadamu kuwa aliwatendea mema watu wote? Uhuru wa maoni wa kusema huyu mimi...
4 Reactions
11 Replies
234 Views
Habari zenu ,it's my again Ndugu zangu kama una mtoto au watoto wanasoma shule hizi kayumba usalama wao wakati wa mvua ni mchache sana radi zinapiga kila pahala , nimeona habari hapa Dar Kivule...
1 Reactions
25 Replies
443 Views
Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana...
3 Reactions
22 Replies
516 Views
Vipi ulijisikiaje yaani unajikuta hujatarajia na hauna hela siku hiyo ila mara paap! Unaingiza mkono mfukoni kisha inakutana na hela ambayo hukumbuki ulioweka lini.
3 Reactions
10 Replies
256 Views
Dalili moja wapo ambayo ni sign tosha kwamba muhusika ni mtu ambae Dunia inamtalajia kumtumia kama Mtendakazi au kiongozi wa mambo muhimu ya Kiroho ni hii KUKOJOA KITANDANI. i. Mtu wa kiroho ni...
4 Reactions
70 Replies
2K Views
Serikali ni chombo muhimu katika kusimamia maendeleo ya taifa, kulinda usalama wa raia, na kuhakikisha utoaji wa huduma za kijamii. Hata hivyo, kadri serikali inavyokuwa kubwa kupita kiasi, ndivyo...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu. Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu. Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua...
5 Reactions
8 Replies
718 Views
Wamachinga watembezi bidhaa barabarani, bar n.k. Wapiga debe, Wauza ice cream, Wabeba mizigo(makuli), Wachuuzi stendi, Waokota makopo(sijui hata kama ni kazi) Sijawahi kuelewa mtu anayefanya hizi...
14 Reactions
119 Replies
2K Views
Kijana Saidi Abdallah Mikidadi Potea mkazi wa Dar, ambaye amepata uvimbe mkubwa shingoni, amewaomba waheshimiwa wabunge kumchangia pesa ili kufanikisha safari yake ya kwenda nchini India kwa...
2 Reactions
2 Replies
154 Views
Dar es Salaam 2006. Afisa akitazama ndizi na damu nyingi chini baada ya tukio la ujambazi. Majambazi waliiba kwenye duka la kubadilishia fedha la Macsoms-Posta, majambazi walikuja na kuigiza kama...
3 Reactions
13 Replies
316 Views
Anonymous (5688)
Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Back
Top Bottom