Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Jopo la majaji huko Los Angeles limemuamuru rapa wa Marekani Kanye West kumlipa dola 140,000 (takriban Tsh. 365.4 Milioni) fundi wa kazi za mikono aliyemshtaki kwa kutolipwa malipo ya kazi wakati...
1 Reactions
0 Replies
166 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 35 kutoka Orlando, Florida, ameshtakiwa kwa jaribio la mauaji kufuatia shambulio la risasi katika jumba la kifahari la mwanamuziki maarufu duniani, Rihanna...
2 Reactions
4 Replies
200 Views
OOOH ZAHIR ZORO MOTO WA ALLAH HAUZULIKI Mzee Zahir Ali Zoro — Mmanyema wa kabila, mzaliwa wa Uislamu — kwa bahati mbaya aliteleza katika mtego wa anasa za dunia. Akauacha Uislamu, dini...
2 Reactions
17 Replies
572 Views
Tom Hagen alikua adopted, akasomeshwa sheria na kufanywa kuwa Consigliere wa familia. Hivyo Consigliere aliiuwa ndiye mshauri na mwanasheria wa familia na shughuli zao zote
2 Reactions
18 Replies
357 Views
Team ipi ina nguvu zaidi? Je, ukipanga pambano kati ya pair ya Tony Jaa & Iko Uwais dhidi ya Scott Adkins & Michael Jai White, unadhani ni pair ipi ingeibuka mshindi? VS Pia soma Michael Jai...
2 Reactions
8 Replies
218 Views
DARASA HURU - JOSE MTAMBO Chorus.. Darasa huru mambo sio safi gheto/ Shika lako, shika na la mwalimu/ Ujashikwa mikono , ujashikwa miguu/ Akili nywere kila mtu anazo zake..... Verse...2. Je...
0 Reactions
3 Replies
320 Views
Gusttavo Lima - Dez Na Mente "Feito à Mão" Dez Na Mente" is a track from Gusttavo Lima's album/DVD "Feito à Mão," released in 2025/2026, featuring an intimate sound. The music is available for...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies. Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker...
17 Reactions
3K Replies
141K Views
Bila shaka hivi karibuni umepita TikTok au Instagram na umesikia wimbo maarufu unaotumika sana kwenye Reels uitwao “Papaoutai”. Wengi hudhani ni wimbo mpya, lakini si kweli. Wimbo huu ulitoka...
2 Reactions
10 Replies
557 Views
Hii ni sababu kwa nini wanaume wengi wanachukia jaribio la kupimwa tezi dume ,😄😄😄😄😄ukikutana na dr p diddy
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Vaya ni mwanamuziki mpya kwenye game, product ya Chapakazi Studios. Ni mwanamuziki wea kike mwenye tungo kali sana zenye ujumbe mzito wa kutia moyo, kukupa nguvu na mwelekeo mpya wa maisha baada...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Nahitaji msaada wa kimawazo ili nijue namna ya kuingiza hela kupitia kupost na kucreate content youtube ,msaada wa kimawazo guys
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Nyimbo hii inanikosha mashairi yake yana kwenda kama hivi "Tulikuwa na Salum mpaka kaenda Ahera wala hatukutukanana, Aah, alipoingia yeye aliyoleta si miziki bali ni matusi, Mji wa Morogoro...
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Unajua fika nimefunga naye pingu,, vipi uitamani mvua tena bila wingu// Maskani ukiunga ukiunga nakusapoti sana,, na sikikakati kiganja coz wee ni mwana// Nyanyuka kwanza uvae boksa,, siwezi...
1 Reactions
2 Replies
166 Views
HARD BLASTERS CREW FT. LB GENIUS ( TUKO NYUMA) Chorus. Tuko nyuma kimaendeleo Sababu ya Rushwa , ubadhilifu na upendeleo Tuko nyuma Tuko nyuma Tu na kichocheo Mambo ni ovyo hatuna Dira...
1 Reactions
3 Replies
141 Views
Wakuu ifuatayo ni orodha ya ma rappers wa kike bora kuwahi kutokea walioendesha mapambano ya mziki wetu huu Nick minaj Miss Elliott Lil Kim Queen Latifah Lauryn hill Hamna ubishi hapa...
1 Reactions
18 Replies
707 Views
Mpendwa msomaji. Kama ulisoma mkasa[emoji116] (Nilivyo Okoa Maisha Ya Watalii toka Finland). Huu ni mkasa kamili wa kisa kile. Nilielezea visa vichache kwa ufupi, lengo lilikuw kuonyesha msaada...
38 Reactions
3K Replies
273K Views
Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
0 Reactions
2 Replies
135 Views
  • Poll Poll
⚔️ TRAVIS MATUPA — MBEBA MWENGE WA MWISHO --- 🌑 Asili yake Travis Matupa hakuzaliwa kama shujaa. Alizaliwa katika kijiji kidogo kilichokuwa kandokando ya Msitu wa Nyota. Tangu akiwa mtoto...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…