Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wangoni ni kama Wanyamwezi. Video zao kuzipata ni shida saana maana kila uchaguzi mnachagua ................. Umeme wala vitu kama YOUTUBE ni vya shida sana. Ila kuna mtu alifanikiwa kuchukua...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Pana wakati nikiwa nimekuja kutembelea jamaa zangu pale Dar, nilialikwa na binamu yetu ambaye amezaliwa na kukulia Dar uswahilini na kashakuwa kama Mzaramo. Siku hiyo alikuwa anatoa wajukuu zake...
0 Reactions
25 Replies
17K Views
wakuu kuna movie inaitwa "day of the jackal" naomba sana mwenye kufahamu namna naweza kui-download anifahamishe jamani. ni movie ya kitambo kidogo!
0 Reactions
3 Replies
683 Views
What is the best keyboard that a beginner like me will fit?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wabongo bana....masikio yenu yalikuwa Simba na Yanga....muwe mnaangalia na ukwelini majuu kuna nini.... Jana ndio ilikuwa Grammy awards....kule LA majuu.... Mchizi wangu Marshall Mathers kabeba...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
HAPPY VALENTINE KWA WAPENDANAO NA KWA WAPENZI WA MUZIKI WA JAZZ
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muandaaji wa Miss. Utalii 2011 ni Ndugu Chipungahelo. Huyu jamaa hana historia nzuri katika uandaaji wa mashindano na concert mbali mbali. Mnaokumbuka, ameshawatapeli wasanii chungu nzima...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jamani wakuu,, samahanini, pengine ni uelewa wangu mdogo ama sijui ni vipi,, lakini ningelitamani sana kujua maana hasa ya nyimbo za huyu jamaa,,, nimejitahidi mara nyingi kurudia kusikiliza...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, itawatambulisha wanamuziki wake wapya kwenye onesho lao litakalofanyika Februari 14, mwaka huu kwenye ukumbi wa Da’ West Park Tabata, Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kichapo cha ManU, bora kupumzika kwa music!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya wadau msiwafaidishe wahindi wa kkoo na wachina kama kuchakachua chakachua bure Kwa maalezo zaidi tembelea TorrentDay - Your Key To The Scene jisali upate movie mpya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia nikapata miziki hii au hata michache ya zamani ambayo nikuwa naipenda sana. Baadhi siijui majina lakini nitaandika mashairi yake: Nyimbo ziliimbwa na...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Hivi karibuni japokuwa sikumbuki ni mwaka gani lilifanyika shindano kubwa tu nchini na likiwashindanisha wabunifu wote wa mavazi,LENGO likiwa ni kupata vazi la kitaifa...hilo halijawezekana mpaka...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Waheshimiwa naombeni mtu mwenye link ya kudownload huu wimbo. Naupenda sana.
0 Reactions
3 Replies
17K Views
Aise huyo mmasai noma yani amekataa kumwacha mke wake aende peke yake eti hawezi kuishi bila mme wake maneno mbofumbofu, kambi ya visura!:thinking:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
well its all set hope you guys are registering to take part in Africa's biggest tv show series? You can get tips on how to win Big Brother Africa here Big Brother Africa Enjoy and a thank you...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
jamani naombeni mniambie sehemu nzur dodoma utakazo tumia kureflesh wikend. mana haka kamkoa sehemu za kutembelea na kuenjoy ni tatu cjui mkoa mzima, mana kama sio dodoma hotel, 84, kiliman na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni web site gani ambayo ninaweza kusikiliza miziki ya kitanzania?? Naombeni link wadau.
0 Reactions
2 Replies
431 Views
  • Closed
============= Housemates evicted so far: Hannington Sammi Lerato Tatiana Yakob Sheila Code Paloma Jen Meryl ============= Jumapili ya 18/7/2010 ile show maarufu ya Big Brother Africa...
0 Reactions
433 Replies
59K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…