Arusha Town Choir & KURASINI SDA - Kwaya Bora Kwa Nyakati Zile na Hizi!

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Kwa wale waliokuwepo kwenye 80's nadhani mnakumbuka hii kwaya kutoka Arusha iliyojulikana kama "Arusha Town Choir"... Mimi binafsi huwa mpaka kesho naipa hii kwaya kuwa kwaya bora kabisa kwa wakati huo...

Na kwa miaka ya sasa 2000's nadhani kwaya bora kabisa ni Kurasini SDA...

God Bless

Usinikumbushe ule wimbo wa KILA MTU ATAUCHUKUA MZIGO WAKE MWENYEWE.
Enzi hizo Radio Tanzania kwenye kipindi cha UGUA POLE kilichokuwa kikirushwa kila Jumapili saa 3 asubuhi wale wagonjwa walio kata tamaa walikuwa wanaupenda sana wimbo huo.

Kurasini SDA kabla ya TV na Teknolojia kuenea hawa jamaa walionekana wakali sana. Sasa ndo tunajua janja yao kumbe nyimbo zao nyingi walikuwa wanachukua nyimbo za kiingereza za Wasabato huko Ulaya, Zimbabwe, na Marekani na kuzitafsiri na kuziimba kwa kiswahili.

Kwa hiyo kama ni uimbaji tuwasifu kwa kuweza kugezea vizuri

Albam ya kwanza mpaka kumi na tisa hawakuiga isipokuwa mwalim wao(kibaso) alikuwa moto kwenye utunzi na hata style ya kuimba kwa sauti tamu kulitawala. Kuanzia album ya ishirini utunzi mzuri ukaanza kupotea na kutafsiri kukazidi huku style ya kuimba isiyozingatia utamu wa sauti na kupenda kufyatua album nyingi kwa kipindi kifupi vikaanza kutawala mpaka sasa hivi. Sasa hivi imebaki jina tu kama ambavyo album zao za mwanzo zitavyobaki kuwasimamisha kama waimbaji mahiri waliopata kutokea bongo.

Kurasini SDA kabla ya TV na Teknolojia kuenea hawa jamaa walionekana wakali sana. Sasa ndo tunajua janja yao kumbe nyimbo zao nyingi walikuwa wanachukua nyimbo za kiingereza za Wasabato huko Ulaya, Zimbabwe, na Marekani na kuzitafsiri na kuziimba kwa kiswahili.

Kwa hiyo kama ni uimbaji tuwasifu kwa kuweza kugezea vizuri

Albumu ya kwanza mpaka kumi na tisa hawakuiga isipokuwa mwalim wao(kibaso) alikuwa moto kwenye utunzi na hata style ya kuimba sauti tamu ulitawala. Kuanzia album ya ishirini utunzi mzuri ukaanza kupotea na kutafsiri kukazidi huku style ya kuimba isiyozingatia utamu wa sauti na kupenda kufyatua album nyingi kwa kipindi kifupi vikaanza kutawala mpaka sasa hivi. Sasa hivi imebaki jina tu kama ambavyo album zao za mwanzo zitavyobaki kuwasimamisha kama waimbaji mahiri waliopata kutokea bongo.

Nakumbuka Arusha mjini na albam yao ya "shina la mbuyu" miaka hiyo.
Kwaya za KKKT siku hizi zimegeuka bendi za Sebene, mie wananikwaza sana mpaka uwa nafikiria mara2 kuhusu kwenda church, watu wanazungusha nyonga kama Twanga pepeta vile.

Mimi niliwapenda Njombe Anglican na Ulyankulu (zote mbili). Japo si kongwe kama SDA.

Back
Top Bottom