Fid Q vs Jo Makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fid Q vs Jo Makini

Discussion in 'Entertainment' started by Bujibuji, Apr 27, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  Yupi mkali wa hip hop hapa bongo?
  Kuanzia aina ya ghani (styles), mashairi (lyrics) na ryhmes?
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Fid Q , Ngosha the don anatisha.
  Ana misemo na mshairi ya maana.
  Hata ki muonekano, anavaa kiheshima sana huwezi kumlinganisha na Jo Makini cheki bobu wa A Town, ambaye amelewa na sifa
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  joe ni mkali......sema approach yake kwenye muzic hamsadii sana zaidi ya kunyakua matuzo ya kili n.k, meneja wake inaonekana kilaza sana, hajawahi hata kumtafutia show outside country kama kwa wengine U.S , U.K nk,na ndio maana smtm utamkuta Joe anauza mitumba maeneo, na mambo mengine, ila kwa mistari jamaa ni mkali na wasanii wengi wanapata reference toka kwake kwamba ''HIP-HOP HAPA BONGO HAILIPI''.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  FID Q yuko juu zaidi....
   
 5. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 847
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 180
  Wote ni wakali, wanatofautiana uandishi wa mashari na style za kughani mashairi...ukisikiliza kwa makini nyimbo zao lazima upate msg. Though for me Joe ni mkali wa style ya kuflow over beat, yupo creative sana.. Fid Q mashairi yake yamejaa misemo zaidi na ulinganifu wa vitu au watu, content haifanani na title( udhaifu). Ila wote wanapresent Hip-Hop vizuri.
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  sidhani hata kama jamaa ana meneja.
   
 7. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #7
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Fid Q my Bongo hip hop musician roll modal.
   
 8. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ni kama kuku na yai nani alitangulia?
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Apr 27, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Nani ni kuku na nani ni yai??
   
 10. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hujui yai hutangwa na kuku. Hiyo ni loop ambayo inaanzia kwa kuku
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  nani ni yai na yupi ni kuku?
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  kati ya hao hamna anayemfikia J Mo.
  Sema radio stations zinambania sana.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  duh...upo out of topic...hembu rudi haraka!!
   
 14. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fidq ni noma.
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Jo Makini mwamba wa Kaskazini!!!...
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Wote nawakubali, kwa kuwa hawana hip hop mavi za matusi na kusifia maovu, kama wale sijui Nako...2 nini?
   
 17. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  exactly,mawazo yako sawa na yangu
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  Msiwataje kikosi cha mizinga na Madee, wao ni kuhamasisha vurugu na kuendekeza udini.
   
 19. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2011
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Wote wakali ,FID Q ana lyrics za ukweli Joh Makini siku hizi ameanza kuwa mchovu
   
 20. Pianist

  Pianist JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Joh Makini ni mkali, kwenye 'kuflow' na pia lyrics zake nyingi ni original, lyrics za fid q nyingi sio original ananakili kutoka kwenye vitabu. Halafu sauti ya Joh Makini ni nzuri zaidi kulinganisha na fid q. Joh Makini akishirikiana na Jigga hutaona tofauti.
   
Loading...