Strictly Bollywood ( salaam e ishq ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Strictly Bollywood ( salaam e ishq )

Discussion in 'Entertainment' started by Viper, Aug 4, 2011.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrSalaam-e-Ishq: A Tribute to Love  uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhlllluuuuuu[​IMG]  Thanks to Asha Dii ... alini recommend na kunisisitiza niitafute hii movie ! kusema kweli ni movie nzuri sana na hii ni summary yake  Movie imegawanyika katika story 6!!

  Story 1: Kamini and Rahul Born in Dehra Dun, temperamental and ambitious Kamna changes her name to Kamini (Priyanka Chopra), hires Babu as her manager and becomes one of the most sought-after heroines in Bollywood. As a publicity stunt and to get the attention of filmmaker Karan Johar, she recruits Rahul (Salman Khan) to pose as her childhood sweetheart and future husband - which results in nothing but insecurities for both - as Rahul reveals his true character and starts to blackmail her.


  Story 2: Gia and Shiven Gia Bakshi (Ayesha Takia) lives with her dad, Col. Bakshi and is in love with Shiven Dungarpur (Akshaye Khanna), both are to get married shortly, but Shiven starts to get cold feet and decides to disappear from her life, leaving Col. Bakshi no alternative but to arrange Gia's marriage with Rohit Chhada.

  Story 3: Seema, Vinay, and Anjali Gia's sister, Seema (Juhi Chawla), who lives in Britain, has been married to Vinay Malhotra (Anil Kapoor) for 15 years, and they have two children. While preparing to travel to India for Gia's marriage, Seema finds out that Vinay is having an affair with a gorgeous woman named Anjali (Anjana Sukhani) - leaving her heartbroken.


  Story 4: Ashutosh and Tehzeeb Ashutosh Raina (John Abraham) is a Hindu, but falls in love and gets married to Tehzeeb Hussain (Vidya Balan), who is Muslim, much to the chagrin of his father, who will not have anything to do with him. Tehzeeb is a TV news reporter, and while traveling on an inaugural train route, the train derails, Tehzeeb survives but loses her memory, and is unable to recall who Ashutosh is - and may end up leaving him and returning to her parents' home.


  Story 5: Raju and Stephanie Raju (Govinda) is a taxi driver who comes to the assistance of a Caucasian woman, Stephanie (Shannon Esrechowitz), who is frantically trying to hunt down her lover, Rohit Chhada. Raju drives her around Northern India and finally to the venue where Rohit is getting ready to get married to Gia.


  Story 6: Ramdayal and Phoolwati Ramdayal (Sohail Khan) weds attractive Phoolwati (Isha Koppikkar) and would like to spend some intimate moments with her, but comical circumstances prevent him from doing so.

  wapenzi wa bollywood nawa recomend angalieni hii movie ...


  <span stylhhhhhhqua;">


  Katika hii movie Priyanka chopra nadhani aliwahi kuwa miss world / universe ameni vutia sana


  eeeeeeeeeeeeeeeeee[​IMG]e
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Salam Namaste Viper.... I am so very happy you have watched this movie... Sikutegemea kua ungei watch this soon... Yaani hatimae nimepata a person i can discuss with about it for ni wachache huweza angalia Bollywood movies... na hii is the type of movie ambae yeyote ambae kweli anapenda movies (hasa international) ata enjoy... naona umeandika kabisa woote waliopo katika the story - na the first thing i thot baada ya kuangalia the first time ni kua Director wake ni Mkareee.... na had an incredible sense of humour...

  It is a long movie na i suggest tuanze from couple to couple... na most interesting scenes of the couple.... you will have to choose which you love best then from there tuendelee....

  Thank you for watching it....
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  nitaitafuta niione na mimi
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145

  Nimevutiwa na Ashutosh & Tehzeeb ... mapenzi ya hawa wawili yalivyokuwa complicated na iman za kidini, lakini walikuwa ndani ya mahaba mazito! story yao ingiawa haikuwa na happy ending , maskini yule msichana alipopata ajali .. akamsahau kabisa jamaa! poor guy kajaribu kila njia, nakumbuka shangazi yangu angeona hii science angetokwa na machozi , bolly wood movies huwa zinamtoa machozi

  nimefurahishwa sana na story ya priyanka !! actually ame act vizuri mnoo!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Please Boss.... ASAP!!!
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Viper... hio couple ni wale ambao you feel when you see them... yaani mapenzi ya vile ingekua ndio couples zoote zipo hivo nafikiri watu tungekua na amani saana... Napenda msimamo na mapenzi ya dhati ya the guy... binti kamsahau kabisa tokana na ajali - akathubutu kumpleka kwa babake anaemchukia mkewe na kumwambia babake.... kua mkewe hana kumbukumbu yoyote... "Baba tafadhali show her the hate ulikua unampa - labda itasaidia anikumbuke" - i was touched!!

  I was more impressed pale yule mkewe alipomwambia sikukumbuki kabisaa na najua you are hurtin, hivo bora nirudishe kwetu... But the guy akamjibu kua "najua kua kweli umenisahau.... lakini siamini kua moyo wako umenisahau pia, thus with time utanikumbuka..."

  Dah! This couple.....
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Mh siwezi kuangalia jamani machozi yangu yapo karibu bana.
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Mfiachi sio wee pekee.... mimi nikiangalia movie ya kihindi for the first time nataka niwe peke yangu...
  ili niwe huru kucheka, kulia, ku pause.. n.k.. na hii movie nililia sio chini ya three scenes....
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145

  Je unaonaje ilie story ya britian ... bado kidogo ifanane na ile movie " I THINK I LOVE MY WIFE" .... ni mitihani kweliweli inawakumbuka wanaume wengi waliomo ndani ya ndoa snasana ndoa za muda mrefu tunajifunza mengi sana pale.......

  kama kweli lile song lao pale gym yule msichana namwambia jamaa " sir watch your steps"

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  The most mature couple... napenda ille for inaonesha ni jinsi gani couples wanakua full of hope wanapooana hasa wale school sweet hearts... inaonesha ni jinsi gani akina mama wana sacrifice elimu yao ili kua mama wa nyumbani na kulea watoto na baba... inaonesha the way wanawake wanaridhika na dreams za waume zao ili mradi zi suffice na afurahi na jinsi gani mwanamke hu protect watoto dhidi ya matatizo yalo kati ya wazazi.... Yule mwanamke is a typical wife material any man can be proud to have....

  Napenda pia jinsi the husband anavokua na mid life crisis when turning 40... (alinichekesha alipotoa zile ndefu - i was like aaargggh!!)... Na napenda the fact kua at the end of the day aligundua the wife is the best woman in his life ever!! - yeah... kind of reminds me "I think i love my wife"

  Uliona yule dogo alivo mtega na ile diary?? Yaani guys are sometimes so thick.... to understand simple signs....lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mhh!! seriously didi , hata miye ningefanya the same... wanawake ni viumbe wajanja sana na wenye kumsoma mwanaume haraka .. (atafanya nini next) Anjay kanifurahisha sana coz aliweza ku seduce baba wa watu... too bad hawakumpa anjay nafasi kubwa kwenye hii movie

  je what about govinda na mzungu wake...
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Aug 4, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  aaisee yule mtoto alikua mzuri mno... hata mume wangu asiposhtuka naweza kua na wasi kua kweli sasa kazeeka (what happens after, that is what we the wives don't want!!) Bana mimi kama mke nashukuru alipewa nafasi ndogo....lol... maana dogo aliumbwa na kuzaliwa kutohoa akili za wanaume... Unakumbuka lile darasa lake la dancing... yaani walikua wanaume tupu....lol... shida sio kujifunza bali kumuangalia...

  Imagine the shock alisikia aliporudi down stairs na kukuta the wife anataka kujiandikisha hizo dancing classes...lol
   
 13. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145

  hehehe my last couples ni wale ambao wanajaribu kila njia ta have their fisrt night together ila hawana bahati.. kinda funy
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Yaani alll those attempts wakaja fanikiwa kwenye train...lol...

  Unakumbua ile scene the bride anasema it is hot (or is it you are on fire?? lol)
  jamaa akafurahi... kumbe yupo literally on fire! Nilicheka mno...

  Na pale anasema babies... babies... kombe wadogo wanawachungulia...
   
 15. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duuh mmenifanya nikumbuke enzi za Empire cinema, Drive in, Odeon,Avalon simchezoo.

  Nitajaribu kuitafuta.
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Please do.... and congrats with your new Avatar....
   
 17. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  AW
  Umenikumbusha enzi hizo nipo na dingi mdogo pale Avalon aisee, naikumbuka movie ya wakina Kishen Kanaiya (sijui ndio majina yao au tulichakachua tu) lol
  Mara ya kwanza kuingia Drive- In, nilikuwa na father.....
  Hizi kumbukumbu huwa zinanifanya nijiulize kama kaika medani za burudani tunaenda mbele au tunarudi nyuma....!
   
 18. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mara ya mwisho kuangalia picha za kidosi ni enzi za Disco Dancer na Andhar Kanon. Baada ya sifa zote hizo mlizotoa itabidi niitafute hiyo niiangalie
   
 19. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mtiriko wa masimulizi wa hivyo visa Adii na Viper mmenikuna sana....!
  Sijabahatika kuiona....
  Ila pia ninatatizo kwenye kushika majina ya Bollywood movie japo nimekuwa nazipenda toka enzi za "Hatiya"....
  Guys siju mmeiona ile movie ya Amittah na Tabu wameactia Uingereza....., Amittah anamiliki mgahawa wa kihindi pale mjini london
  Ammitah ana miaka 64 kampenda Tabu ana miaka 32.... baba yake Tabu ana miaka 58.....
  Siku yule mzee (Baba yake Tabu) anatambulishwa mkwewe ilikuwa balaa!
  Baada ya juhudi za kumbembeleza Tabu aachane na huyo mzee kushindikana mzee akatembeza mgomo wa kula...
  Saddest thing sikuimalizia hadi leo naitafuta ila sijui inaitwaje wala!!
   
 20. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Unaweza ukadownload kama nilivyofanya mimi just copy hili jina Salaam-e-Ishq hapa then utapata results natumia u torrent ni nzuri zaidi
   
Loading...