Kidekule

dora

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
376
314
Wandugu,
Nautafuta sana wimbo wa "kidekule" (video) kwenye youtube bila mafanikio. Msaada please kwa anaejua wimbo unaitwaje or bendi iliyoupiga. Ukiweza kuuweka hapa ni poa pia.
Natanguliza shukrani.
 
Nenda youtube....Victoria eleison kuna nyimbo kama Dandy,Ayide sungu etc....naifagilia sana album ya Polo kina.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Huwa navutiwa na nyimbo za Victoria Eleyson na King Kester Emeneya. Eg. Wimbo Nzizi wa Emeneya ni mzuri sana.
 
Huwa navutiwa na nyimbo za Victoria Eleyson na King Kester Emeneya. Eg. Wimbo Nzizi wa Emeneya ni mzuri sana.

Nilikuwa sijausikia Nzizi siku nyingi, thanks for sharing..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom