TV Show: Family Full Mapesa Show

Rogart

Member
May 5, 2011
6
2
Naam wana JamiiForums!

Msikose kuangalia kipindi maridadi kabisa cha FAMILY FULL MAPESA kupitia STAR TV kila JUMAPILI SAA 12:30 - 1:00 JIONI.

Hiki ni kipindi cha kifamilia ambacho watu wanapata bahati ya kushuhudia maswali na majibu kibao yanayolenga kuelimisha na kuburudisha.

Pia mnaweza kufuatilia video clips na picha mbalimbali za kipindi hiki kupitia blog ya SAHIHI ENTERTAINMENT na kule facebook kupitia page ya Family Full Mapesa | Facebook . Pia, usisahau ku-like page yake facebook kama unavutia na hiki kipindi.

Wasalaam!

[video=youtube_share;CVhvdNwKVgc]http://youtu.be/CVhvdNwKVgc[/video]
 
Back
Top Bottom