msaada wa kudownload movies for free withou installing any application

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
kichwa cha habari hapo juu chahusika

ningependwa kujuzwa na wajuzi kuhusiana na website yoyote ambayo naweza kudownload movies for free without registration requirements au kudownload kwanza appplication,am asking this because computer ninayotaka kudownload hainiruhusu ku install any application untill administrator consent...pia ningependa kuuliza kama nataka kuihamisha movie kutoka kwenye CD kwenda kwenye flash disk what are the procedures

thanks and regards

MDAU
 

Wizzy Ommy

Member
Joined
Aug 11, 2011
Messages
19
Points
20

Wizzy Ommy

Member
Joined Aug 11, 2011
19 20
Inategemeana na file ya hiyo movie unataka download,kama ni flash file kind ya movie,lazima uinstall program ya kudownload a flash file,lakin ka ni file la kawaida unaweza tu download kama kawaida.
Ka unataka amisha movie toka kwenye CD,we icopy kwanza kwenye mashine afu itume kwenye flash!!
 

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
1,329
Points
1,225

mojoki

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
1,329 1,225
Inategemeana na file ya hiyo movie unataka download,kama ni flash file kind ya movie,lazima uinstall program ya kudownload a flash file,lakin ka ni file la kawaida unaweza tu download kama kawaida.<br />
Ka unataka amisha movie toka kwenye CD,we icopy kwanza kwenye mashine afu itume kwenye flash!!
<br />
<br />
thanks hommie japo sijajua jinsi ya kufaham if its a flash file or not datz one but two web ya ku download hizo movies...thanks anyway
 

Forum statistics

Threads 1,353,888
Members 518,423
Posts 33,083,703
Top