Mr. Bean (Rowan Atkinson) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mr. Bean (Rowan Atkinson)

Discussion in 'Entertainment' started by Mzuzu, Aug 26, 2011.

 1. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kwa wakubwa waliokuwepo enzi za huyu bwana nafikiri wanakumbuka vichekesho vyake, ilikuwa balaa unavunja mbavu wakati mwenyewe kimyaa.... alikuwa haongei utaona vitendo vyake tu na utafurahi.

  Hebu tujikumbushe enzi hizo na vijana wa leo si mbaya wakajua haya........................ tupunguze hasira za bungeni kidogo!

  The Return of Mr Bean | Full Episode - YouTube

  Hair by Mr. Bean of London | Full Episode - YouTube

  Merry Christmas Mr Bean | Full Episode - YouTube

  The Trouble with Mr Bean | Full Episode - YouTube
   
 2. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Duhhh
  Nlivyoona jina lake karoho kamedunda
  Haraka haraka...
  Miezi michache iliyopita ( skumbuki lini) alipata
  Ajali ya gari...(mwaka huu)
   
 4. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
 5. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Ilikuwa April 2011, aliumia kidogo tu kwenye bega la kushoto lakini yupo sawa tu sasa hivi anakula maisha safi ila gari yake McLarean F1 sports car ndo iliharibika beyond repair haikufaa lolote hadi watu walishangaa alitokaje humo
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Huyu gwiji alikuwa kiboko, ni noma kwa mavitu yake.
   
Loading...