Timu ya Soka ya waigiza Filamu hapa nchi jana ktk uwanja wa Taifa imepokea kipigo cha goli 2-0 toka kwa timu ya wasanii wa Muziki wa kizazi kipya.
Wakicheza bila nahodha wao Amri Athuman ama...
Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kusikia kitu kikisifiwa na kulandana na sifa hizo, si kingine bali ni hii tamthiliya changa. Nimeisikia ikitangazwa kwenye clouds media na kupewa sifa. Nilidhani ni...
Waheshimiwa, kwa yeyote mwenye habari, ninaomba kujua wale jamaa walioanzisha Maisha Plus mbona hawasikiki tena kuendeleza walichokianzisha kwa faida ya vijana wetu kuexperience maisha ya...
Wangoni ni kama Wanyamwezi.
Video zao kuzipata ni shida saana maana kila uchaguzi mnachagua .................
Umeme wala vitu kama YOUTUBE ni vya shida sana. Ila kuna mtu alifanikiwa kuchukua...
Pana wakati nikiwa nimekuja kutembelea jamaa zangu pale Dar, nilialikwa na binamu yetu ambaye amezaliwa na kukulia Dar uswahilini na kashakuwa kama Mzaramo.
Siku hiyo alikuwa anatoa wajukuu zake...
Wabongo bana....masikio yenu yalikuwa Simba na Yanga....muwe mnaangalia na ukwelini majuu kuna nini....
Jana ndio ilikuwa Grammy awards....kule LA majuu....
Mchizi wangu Marshall Mathers kabeba...
Muandaaji wa Miss. Utalii 2011 ni Ndugu Chipungahelo.
Huyu jamaa hana historia nzuri katika uandaaji wa mashindano na concert mbali mbali. Mnaokumbuka, ameshawatapeli wasanii chungu nzima...
jamani wakuu,, samahanini, pengine ni uelewa wangu mdogo ama sijui ni vipi,, lakini ningelitamani sana kujua maana hasa ya nyimbo za huyu jamaa,,, nimejitahidi mara nyingi kurudia kusikiliza...
BENDI ya African Stars Twanga Pepeta, itawatambulisha wanamuziki wake wapya kwenye onesho lao litakalofanyika Februari 14, mwaka huu kwenye ukumbi wa Da West Park Tabata, Dar es Salaam...
Haya wadau msiwafaidishe wahindi wa kkoo na wachina kama kuchakachua chakachua bure
Kwa maalezo zaidi tembelea TorrentDay - Your Key To The Scene jisali upate movie mpya
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia nikapata miziki hii au hata michache ya zamani ambayo nikuwa naipenda sana. Baadhi siijui majina lakini nitaandika mashairi yake:
Nyimbo ziliimbwa na...
Hivi karibuni japokuwa sikumbuki ni mwaka gani lilifanyika shindano kubwa tu nchini na likiwashindanisha wabunifu wote wa mavazi,LENGO likiwa ni kupata vazi la kitaifa...hilo halijawezekana mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.