Msanii TID Azuiwa kufanya 'shooting' ya wimbo wake Zanzibar,atakiwa kutoa laki moja.

NDOFU

JF-Expert Member
Feb 23, 2009
656
144
Baada ya kuwa amefanya shooting nyingi upande mmoja wa muungano 'Bara' TID Aliamua kwenda kufanya shooting Zanzibar,wakiwa katikati ya zoezi hilo maeneo ya Forodhani walitokea maafisa wa parking wakawaomba kibali,kama walivyozoea Tanzania bara hakuna mambo ya kibali wakawajibu hawana,hapohapo walifungwa pingu(yeye na jopo zima ) mzobemzobe mpaka polisi walikokaa lock-up muda kadhaa wakatakiwa kulipa laki moja ili wakaendelee na zoezi lao lakini ni Forodhani peke yake huku wakitakiwa kulipa laki moja kwa kila 'location'.TID AMELAANI KITENDO HICHO UKIZINGATIA PEMBENI YAO WALIKUWEPO WAZUNGU (WATALII) WAKIPIGA PICHA KAMA WAO LAKINI HAWAKUFANYWA CHOCHOTE,AMEDAI HAONI FAIDA YA MUUNGANO KWANI WAMENYANYASWA KAMA WEZI KITU AMBACHO HAKIFANYIKI TANZANIA BARA KWA WASANII WOTE.Source :Clouds fm.SWALI, WATANZANIA BARA WATANYANYASWA MPAKA LINI ZANZIBAR?
 
Back
Top Bottom