umehudhuria ukumbi gani wa disco leo?

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Leo ni J2 siku ya disco. Watu wanadamka asubuhi kwenda kucheza disco katika kumbi mbalimbali.Maeneo ya mission leo ni disco zito na watu wakoshazi. Karibu yangu kunaukumbi hapa unasumbua sana. Wewe leo umehudhuria ukumbi gani? Kiongozi wenu anayeongoza disco kasema nini? Au haukwenda umeamua kufungulia disco nyumbani kupitia radio wanachama wa disco? Kiongozi amewahimiza nini kuhusu kile chamachenu cha Chama cha Maendeleo ya Disco?
 
Leo ni tarehe 2 au 3 na je leo ni jumamosi au jumapili,umeniacha mnara wa saa kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom