Nisaidieni wimbo huu tafadhali

Nisaidieni wimbo huu tafadhali

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Tafadhal mod sina uhakika kama ndo mahali pake ila nitakuomba kama si mahali pake ninaomba uiachie hapa ili nipate jibu haraka kwani natumai sehemu hii wanaoingia hapa ni wengi.Wimbo huo ni ule uliotumika kwenye tangazo la coca cola la sababu milioni za kujivunia.Unaitwa I LOVE YOU AFRICA Umeimbwa na mwimbaji nani?
 
Wimbo mzuri lakini naona kama "Mweha anamsifia kunguru mwenye kipande cha jibini mdomoni kuwa anaimba vizuri".
 
Wimbo huu uliimbwa na Steve Kekana wa SA unaitwa All I need is right here Africa. Search YUOTUBE utaukuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom