Maisha Plus imeishia wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha Plus imeishia wapi???

Discussion in 'Entertainment' started by Katavi, May 17, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ule mchezo wa maisha plus umeishia wapi?? Ulikuwa na mvuto kiaina kuliko huu wa BBA ambao hauna maadili. Kipanya na timu yake vipi??
   
 2. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Na mimi nimejiuliza nimekosa jibu.
   
 3. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,247
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Mi naona ni bora TBC wangeidhani maisha plus kuliko ZECOMEDY.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamaa alikuwa anawalazimisha washindi wamgawie nusu ya hela za ushindi wadhamini wakastukia dili wakajitoa wote.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Kumbe ishu ni wadhamini, kama alikuwa anafanya hivyo bora tu asipate wadhamini wengine..
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kilicho waudhi zaidi yeye pia walikuwa wanamtengea fungu zuri tu,hii kibongobongo inaharibu mambo mengi.
   
 7. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Wamsamehe, binafsi nilikuwa naipenda sana kuliko hii ya kupiga chabo ambayo haina hata maadili kwa kizazi hiki cha sasa.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ni kweli inabidi ajipange upya ili ule mchezo uendelee.....
   
 9. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kipanya aliwahi kuhojiwa na kudai anajipanga kivingine
   
 10. R

  Read me Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa mfuatiliaji wa hicho kipindi miaka ya nyuma kupitia TBC1,
  Lakini nashangaa mbona cku hizi hakipo tena!
  Mwenye nyuzi a2juze kimepotelea wapi hiki kipindi cha maisha plus cha Masoud wa kipanya na wenzake.
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hili swali limeshajibiwa sana humu search Maisha Plus.
   
 12. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  labda kafirisika!
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,079
  Likes Received: 6,540
  Trophy Points: 280
  anatangaza redio times fm, ujasiriamali mgumu jamani we acha tu.
   
 14. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nafikiri kilikuwa bomba kuliko big braza
   
 15. only83

  only83 JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Jamaa alikwisha tengeneza hela ya kutosha na ameaga umaskini tayari aendelee na nini?
   
 16. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  Kipindii gani kile cha kuwarudiisha watu kwenye barbarism? watu tunapiga vita umaskini wengine wanautetea. kubeba maji kichwani ndani ya mtungi.kupikia kuni ahaa taabu tupu. bora kiliisha kilikuwa hakifundishi.
   
 17. M

  Maengo JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatumia watu kutengeneza hela halaf anakuja kuwazawadia simu za promotion! Aende zake huko!
   
 18. P

  Paul S.S Verified User

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu jaribu kuangalia na hao walioko dunia ya tatu wanafanyaje kwenye show kama hizi, wanashindana hadi kula nyama mbichi, pia asilimia zaidi ya 50 ndio maisha yao yale hapa bongo

  Mkuu ndio moja ya fomula ya maisha hiyo
   
 19. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #19
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  eti jamani mchezo wa maisha plus aliokua anausimamia masudi kipanya uliishia wapi? Au jamaa alifulia au ilikua haimlipi.mwenye kujua sababu atusaidie
   
 20. Mhoja

  Mhoja JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 206
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau maisha plus imepotelea wapi? Au mwandaaji wake ndg. Kipanya aliona haimlipi? Alipaswa kuwajulisha watz.
   
Loading...