Nyimbo mpya ya kigoma all stars- nyumbani

Nyimbo mpya ya kigoma all stars- nyumbani

Naoma chadema wanaendelea kuukuaa ukabila tanzania
Wakati wazee wa kabila ya ufo saro wakiendekeza ukanda wa kabila la mlima mrefu..
Mwepesi wa kabwela nae anaotesha mizizi ya ukabila wa migebuka
 
Kama ulikuwapo, hili siyo jambo la kulisifia, ni mwanzo wa kutugawa,wameanza kigoma,watakuja kilimanjaro, wakifika mtwara wakaunga na ya gesi hatutabaki salama.
 
Ni kweli kabisa wakuu, mi sikuupenda kabisa ule wimbo kutokana na maudhui yake pamoja ujumbe uliowasilishwa. Wimbo kama huu haujeng umoja wa kitaifa bali unatubomoa na unaleta hali kujiona wao ni bora kuliko watu wa mikoa mingine, ZZK anahusika!
 
tatizo ni kuwa mikoa mingine hawanaga sauti za kuimba, hivi kuna mwanmziki kutoka Kilimakyaro? sijaonaga

Mheshimiwa Temba, Marehemu Nassir Lubuwa(Arawa), hakuna mkoa usiokuw na wanamuzik ktk nch hii!
 
Hawa Watoto Ni Nomaa Kaeni Na Chuki Zenu Ukabila Wa Wapi Na Wameisifia Tz Ndani Ya Huu Nyimbo
 
Nitoe angalizo kwamba sijauskiliza huo wimbo coz hata ukifungua hiyo link haiku direct kwenye wimbo! Tatizo langu kwa hawa jamaa zetu wa Kigoma ni kutoimba ukweli kwenye Leka Dutigite, wimbo ni mzuri lakini una paint picha tofauti kabisa na mkoa wenyewe. kama hujafika Kigoma ukiskiliza ule wimbo unaweza kudhani ni peponi! The matter of the fact is, ukiacha mikoa mipya iliyoundwa kwa sababu za kisiasa recently ie Manyara, Katavi, Kigoma inaweza kuwa iko mkiani kwa maendeleo arguably!
 
Lema alikuwepo Shirima alikuwepo Massawe alikuwepo.Jamani kuimba ni lazima mbona watu Kama wanalazimishwa hii fani ya watu jamani
 
nassir lubuwa alikua mzaramo,arawa ni tino masenge r.i.p

Ahsante sana mkuu kwa kaniweka sawa, nadhan hapo nilichanganya habari. Nashukur sana! ila nami ningependa kurekebisha hilo jina, ni Masinge na c Masenge.
 
Hao jamaa wanaimba bana huo ukabila mnaujua nyie na hisia zenu...who cares!!!
si tuko kiburudani....KABILA LOLOTE IMBENI TU THIS IS FREE COUNTRY JAMANI:majani7:
 
mkuu haya mambo ya kuimba kwa kikanda mimimsisapoti japokuwa naunga sera ya majimbo ila siungi mkono ishu za kikabila kama za kigoma
 
Back
Top Bottom