Nchi hii haiishi vituko vya wasanii...

Nchi hii haiishi vituko vya wasanii...

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,724
Waigizaji wa filamu nchini wapo njiani kuelekea Airport kwa ajili ya kumpokea
msanii mwenzao, Matumaini, ambaye ni mgonjwa akitokea nchini Msumbiji...
 
Nimetoka kuongea na mdau mmoja sasa hivi anasema kuwa
wao tayari wameshafika airport na wanamsubiria, habari
zinapasha kuwa kishatoka Msumbiji...
 
Walishindwa kumchangia nauli sasa wanaenda kuuza sura kwenye media
 
Upande mmoja ni faraja kwa mgonjwa, upande mwingine ni ubabaishaji wa wasanii.
 
Matumaini kwani alipatwa na nini huko nchumbiji, na alienda kufanya nini?
 
Labda ndio amewapigia simu wakampokee!
 
Back
Top Bottom