Mwana wa Juma Bhalo amwobea afiya na uzima BEENA, hakika wimbo unagusa hisia ukiwa unamtakia afiya njema mtu anayekabiliwa na matatizo. Kwa kweli mistari ya Mwanabhalo imekamilika pengine wasanii wengine vijana wanaweza kujifunza toka kwa msanii huyo, hebu tumsikilize
Source: mwanabhalo wa youtube
Source: mwanabhalo wa youtube
Last edited by a moderator: