Eti John Cena amefariki?

Eti John Cena amefariki?

Maayo

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2011
Posts
317
Reaction score
48
Hizi habari kwamba John Cena yule wa W.W.E (World Wrestleling Entertainment) amefariki ni za kwel? Naomba mwenye kufahamu anijuze wadau.
 
Si kweli .
Hii ni Kama ile story iliyoletwa eti
Undertaker amefariki ..

Ni propaganda tu zakufanya watu wa
Visit website fulani ...
 
Duh...Hivi kwani nini huwa watu wanapenda kuzushiana vifo jamani?
 
Hizi habari kwamba John Cena yule wa W.W.E (World Wrestleling Entertainment) amefariki ni za kwel? Naomba mwenye kufahamu anijuze wadau.

Si kweli, na itaendelea kubaki kuwa ni tetesi hadi hapo wewe utakapoamini kuwa si kweli
 
Duh...Hivi kwani nini huwa watu wanapenda kuzushiana vifo jamani?

Yaleyale ya marehem sajuki(rip). Walisema kafariki kumbe siku yake ilikuwa bado. Bidadam wengne sijui wakoje.
 
Mzima wa Afya!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last week nimemtizama kashinda Royal Rumble Match... another History for him Well Done

20130127_EP_LIGHT_RR_cena_L.jpg
 
Na Wakati huo huo The Rock ndie Bingwa wetu Mpya wa Heavyweight baada ya kumpa kichapo CM Punk Game ilikuwa na Utata baada ya Taa Kuzimwa na Inasemekana the Shield waliingia na kumpa kichapo cha nguvu gizani the Rock baada ya Taa kuwaka the Rock alikuwa hoi hajiwezi Punk akamuingiza na kushinda ila The Big Boss akataka kumpoka Ushindi the Punk kabla hajamaliza The Rock akampinga the Big Boss kuwa hataki ushindi wa Mezani bali anaomba Game iwe Restart ndipo ikakubaliwa na mwishowe The Rock akawa Champion
20130127_LIGHT_RR_rock_L.jpg
 
kaka wewe uacheki kupitia station gani coz wengine hizi stations rayal rumble bado tunasubiri tu
 
Hizi habari kwamba John Cena yule wa W.W.E (World Wrestleling Entertainment) amefariki ni za kwel? Naomba mwenye kufahamu anijuze wadau.

Your time is off my time is now...
You cant see me my time is now...

Ok 1st nilisikia nabii wa Soka Ronaldinho Gaucho amepata ajali kisha kafa.
Kisha nkaja kusikia Justin Bierber nae amefaiki.
Sijakaa sawa nkasikia Tyson kajibadili na kuwa Mwanamke, leo nasikia John Cena is no more...duh
 
Na Wakati huo huo The Rock ndie Bingwa wetu Mpya wa Heavyweight baada ya kumpa kichapo CM Punk Game ilikuwa na Utata baada ya Taa Kuzimwa na Inasemekana the Shield waliingia na kumpa kichapo cha nguvu gizani the Rock baada ya Taa kuwaka the Rock alikuwa hoi hajiwezi Punk akamuingiza na kushinda ila The Big Boss akataka kumpoka Ushindi the Punk kabla hajamaliza The Rock akampinga the Big Boss kuwa hataki ushindi wa Mezani bali anaomba Game iwe Restart ndipo ikakubaliwa na mwishowe The Rock akawa Champion
20130127_LIGHT_RR_rock_L.jpg

Period...
Dwayne Johnson maarufu kama the Rock
ameshinda WWE Championship...world
Heavyweight anayo Albertooooooo Deeeeee
Riiiiiiooooooooooo.
Usichanganye mikanda hiyo.
 
kaka wewe uacheki kupitia station gani coz wengine hizi stations rayal rumble bado tunasubiri tu

Ebana mimi Naishi maeneo ya karibu na Town so kuna Huduma inaitwa Cable TV ni wire unakuja hadi home kwako wana ving'amuzi ambavyo vina channel Nyingi sana kama 180 hivyo kuna abudhabi channel humo ambazo huonesha Mieleka Live haswa Monday night huku kwetu ni alfajiri huwa na friday jumamosi huwa ni marudio kama sasa hivi namtizama Booker T anatoa maneno yake huku Jack Swagger aikibuka upya. unaweza kuwacheki kwa namba ya Landline 022 22 2116611 kama wanafika area yenu wapo sehemu nyingi za mji kama hawafiki kwenu wanampango wa kuleta madish unajiunga na wanakupa dish basi unakula vitu vya ukweli decoder zao zinauwezo wa kurecord pia
 
daaah!asante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom