Flora mvungi arudisha pete ya uchumba

Flora mvungi arudisha pete ya uchumba

me4u

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
42
Reaction score
13
Jamani kuna tetesi zimezagaa kuwa flora mvungi baada ya kuvishwa pete ya uchumba kaivua na kumrudishia h.baba kwa madai kuwa ameona hafai kuwa mme mwema..mwenye habari zaidi atujuze HBABANAFLORAPETE.jpg
 
Jamani kuna tetesi zimezagaa kuwa flora mvungi baada ya kuvishwa pete ya uchumba kaivua na kumrudishia h.baba kwa madai kuwa ameona hafai kuwa mme mwema..mwenye habari zaidi atujuze

si kweli, niliongea nao wote wawili wakakana..Hbaba yuko Moro (jana) na flora yuko location ..si kweli!! Mod funga uzi huu!!Period.
 
wangapi wamevua pete mpaka tushangae hili? maana mimi simfahamu, hata nikimfahamu inasaidia nini katika mstakabali wa taifa langu!
 
Dada yangu ambaye tulizaliwa naye baba mmoja ila mama tofauti karudisha ya kwake jana jioni, baada ya kuuona uzi huu machozi yamenitoka :confused2:.
 
kama picha hiyo ni yeye anayevishwa pete, basi picha imeisha mshitaki kuwa yeye ndiye hafahi, mdada unavishwa pete wala hauonyeshi heshima na shukrani ya jambo unalofanyiwa na mwenzio, umesimama tu kama mlingoti wa simu au umeme wa dowans, khaa !!!
 
Simple minds discuss people unlike great minds
 
Wale wale wa kina bongo movies kila siku kubadilisha wapenzi tu!!! Waneshajiuza kwa magazeti!!! Nilifurahi sana Jokate alivyomtambulisha Diamond "Sukari ya Warembo" wakati wa onesho la Reds!!! Khaa!!
 
huyo sijui nani? eti flora mvungi ni ugonjwa gani? au ni jina jipya la ugonjwa wa ebola!!!

Jamani kuna tetesi zimezagaa kuwa flora mvungi baada ya kuvishwa pete ya uchumba kaivua na kumrudishia h.baba kwa madai kuwa ameona hafai kuwa mme mwema..mwenye habari zaidi atujuzeView attachment 69383
 
Sasa sisi tufanyaje, bana jiheshimu muache kutulletea habari kama hizi hazina tija kwa taifa wala manufaa kwetu..!!! POTEA..

Jamani kuna tetesi zimezagaa kuwa flora mvungi baada ya kuvishwa pete ya uchumba kaivua na kumrudishia h.baba kwa madai kuwa ameona hafai kuwa mme mwema..mwenye habari zaidi atujuzeView attachment 69383
 
Wewe umetumwa na diamond........ Msimpake tope hbaba
naona hii inalink na kumkaba diamond kumwibia idea ya wimbo wake. Shame on you. Lake zone guyz wako ngangari banaaaaaaaaa anakamuaaaa mpaka totoz la kichaga linasuuuzika babake no kurudisha pete.
 
Jamani kuna tetesi zimezagaa kuwa flora mvungi baada ya kuvishwa pete ya uchumba kaivua na kumrudishia h.baba kwa madai kuwa ameona hafai kuwa mme mwema..mwenye habari zaidi atujuzeView attachment 69383
Yako mangapi yanakushinda? Acha umbea

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom