mimi kipaji changu KUTONGOZA
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wadogo kwa wakubwa ,rika zote ,jamani tunaweza kushare talents zetu kupitia hii thread,najua wengi wetu tuna vipaji mbalimbali vya kuimba,comedy,kurap na vingine vingi,
lets starttttttttttttttttttttttt
Judges ni kina nani? Natamani Ian awepo......