Sina pumzi

Sina pumzi

mnyongeni

Senior Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
141
Reaction score
24
Habari wadau

leo naona ni bora nitoe dukuduku langu kwani nahisi hapa ni mahali sahihi pa kufanikiwa ndoto zangu. mimi ninapenda sana kuimba, na malengo yangu ilikuwa ni kuwa mwanamuziki hapo siku za mbeleni kwani nina sauti ya kuimba tena nzuri sana. tatizo nililonalo sina pumzi ya kuimba kwa muda mrefu au kuimba haraka haraka ninawahi kuchoka. na kupelekea ubora wa uimbaji kupungua. hivyo ninaomba msaada wa ushauri nifanyeje ili niodokane na tatizo hili.

msaada please

asanteni
 
Fanya mazoezi sana, ndo uchawi pekee. Kimbia, ruka kamba, ogelea, endesha baiskeli.
Ukiweza kukimbia na bag mgongoni itakuongezea pumzi haraka.

Kila la kheri. Mi napenda kuimba ila sasa ndo sauti kama ya Kongosho!
 
Last edited by a moderator:
Tafuta vyuo vinavyofundisha mziki utasaidiwa
 
Kama una sauti kama yako pole zako, mie hata ya kuongea tu majanga

Back
Top Bottom