Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

Miss World 2013 ni leo........Bali, Indonesia........

Preta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
24,320
Reaction score
18,884
Kama tulivyokubaliana kuwa tutakumbushana..........Miss World ni leo na itarushwa moja kwa moja na Star TV au kwa wale wanaoweza kupata Citizen ya Kenya........mjimuvuzishe huko........Star TV ni kuanzia saa 9 mchana...(1500hrs).....na Citizen wanaanza saa 4 asubuhi......(10 a.m).......mshiriki wetu Brigitte Alfred ndiye anaetuwakilisha katika mtanange huo........
Kwa wale wadau wa urembo.......tushirikiane kumuombea aweze kufika angalau mbele mbele huko......
Sijathibitisha.......ila nasikia.....kashinda......taji la MISS WORLD BEAUTY WITH PURPOSE 2013.........
Kila la kheri Brigitte.........

Brigitte.jpg
 
Umeona sasa
juzi wamechagua miss Tanzania
kumbe wa mwaka jana ndo anawakilisha mwaka huu?

Brigitte ni wa 2012-2013...........Happiness ni wa 2013-2014.....so mwakani ataenda Happiness.......
 
Huyu Brigitte ni Mbantu halisi au naye ni Chotara kama kawaida yetu?
 
Beauty with purpose no 3 na sio mshindi!!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wakuu.....Miss World Star TV live now....
 
nimemwona Miss Tz akihojiwa mbona kimombo chake kina kiimbo cha kiswahili na wanadai hajui kiswahili?
 
onyesho la kilimo cha mpunga kimependeza. Hawa Indonesia ni wabunifu sana yaani gauni wameliwekea mpunga!
 
miss Nigeria ana nafasi ya kufanya vizuri. Miss portugal looks like a man! Miss South Africa na Miss Sauzi Sudan wako juu. Miss Tz amepita haendi popote. Miss Uganda naye hana bao hapa. Ameweka mikono nyuma what was she thinking? She lacks confidence totally.
 
umemuona Miss Zambia.....?.....mwanya kama pengo..........
 
Back
Top Bottom